Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

Kweli naamini kuishi kwingi ni kuona mengi!
Bibi ameishi enzi za ASP/TAA/TANU na sasa CCM hivyo ameyaona yote na hakuna ambaye anaweza kumdanganya sembuse kizazi cha CCM?!

Ni kweli Nyerere hakushika bunduki na uhuru tulipata na sasa mabadiliko yatakuja bila kumwaga damu pia.
Mungu ampe maisha marefu huyu bibi ayaone mabadiliko anayoyatarajia. Aishi kwa amani na si kuwa kuvumilia(ana)!

ALUTA CONTINUA.
 
@ Himawari ni hakika bibi anajitambua sana.
Ni somo tosha Kwa magamba yote na wanaojifanya wanauchungu na mafisadi CCM. Aibu kwao
 
La bibi kamaliza. Kama mbwai na iwe mbwai. Chechemea baibai. Kura kwa LOWASA
 
Hakuna cha "MAGUFULI" wala "MAKOMEO" ccm ni walewale sema tu wamebadili chupa lakini pombe ni ileile Na Siku Zote Mti Mbaya Hauwezi Kutoa Matunda Mazuri. kura zangu zote kunzia udiwan ubunge na urais ni UKAWAAAAAAAA tu hakuna la ziada CCM mpaka hapo wametufikisha pabaya. sasa tusemeeee? inatoshaaaaa kwa sauti tukianza na wewe! forwad sms hii kwa makamanda 90 ili tupate ushindi wa kishindoooooo!!!!
,
Hujitambui.... So....... And if you don't know, now you know #hapakazitu
 
sasa inakuwaje ndugu unachukua tunda toka mti mbaya na kulihamishia ndani kwako au labda hayo maneo ya mti mbaya kutoa tunda nzuri siyo yako ?
SIASA NI SAWA NA PILAU LA MSIBANI.

hahaha!hebu fikiri mtu anaposilimu na kuamua kubadili dini atakavyochukuliwa na upande ule aliohamia?lazima awe lulu kwani wafuasi wameongezeka,pia wanaohama chama cha mijizi ccm akienda popote hata akiacha siasa atakuwa lulu tu kwani kapunguza idadi ya mijambazi katika ukoo wa panya
 
Hao wazee ndiyo ccm inasema tiba kwao bure.hali wakienda hospitali wanaambiwa wakalete barua za serikali ya mtaa.nako ukifika unaambiwa atoe hela apewe kibali .ccm ni balaa.ni mabadiriko yanatakiwa sasa.waje wanao tambua haki za watz
 
Unajua wabibi kama hawa ndo hua wapiga kura, yaani kama hadi hawa wameichoka CCM mwaka huu naona Ndugu Magufuli kapata competition kwelikweli.
 
Gilgali kuna kila aina ya mateso... Na tumeyavumilia sana kama wana wa israeli walivyovumilia sasa basi...tunakenda betheli kwenye neema na mema yote ya mungu...people's........................................
 
Back
Top Bottom