Video:Beating of Africans in Hollyland(Saud Arabia)

Siye tunaongelea kwa Papa Vatican wewe unatuletea mambo ya waarabu. Yanahusu nini? hujui kuwa kuna waarabu wanamuabudu Yesu?

huu uzi niliuweka hapa ulikuwa kuhusu warabu wa Saudi arabia kwanini ulileta mambo ya vatican,lakini umeona tunavyopiga wafanyakazi wandani wakiwa hawataki kuto mambo ya ndani mambo ya maraha 🙂
 
Umesahau Mtanzania tena balozi aliyeshitakiwa USA kwa kufuga mtumwa?
 
Balozi ni mtu mmoja, katika ii hvideo huyu dada anapata kuchapo cha mtaa mzima,kwahiyo unataka kuniambia kwakua balozi wa Tanzania kafanya haya mambo yamehalalishwa
 
Kijana naona unasahau aibu za kwetu, tazama wanavyodhalilishwa hapa hapa kwenu:

[h=2]Mwanamke anusurika kuuawa huko Bunda baada ya kukutwa UCHI huku akiwa ameshika kopo lenye Mavi na dawa[/h] 11/02/2013 habari za kitaifa 8 comments

(Picha ya Maktaba.)

JESHI la Polisi wilayani Bunda, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wenye hasira kali waliotaka kumuua mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Cha Nyerere katika mamalaka ya mji mdogo wa Bunda.

Soma zaidi: Mwanamke anusurika kuuawa huko Bunda baada ya kukutwa UCHI huku akiwa ameshika kopo lenye Mavi na dawa - MPEKUZI

Na hiki ni nini?:

a.jpg

Source: http://1.bp.blogspot.com/-FsF16Ah5lKw/UIV5werK5kI/AAAAAAAATME/4NuXlyJYgOE/s640/a.jpg

Unataka kusema nini wewe? hujuwi huyo alifanya kosa lipi hata akapigwa, hayo yanatokea hata hapa kwetu.
 
Hawa waliokuwemo kwenye hayo masanduku (maungu wawaleza mahali pema pepon)hawakupigwa na mtu isipokuwa walizama kwenye mashua au majahazi waliyokuwa wakisafiria kutoka Africa(morokko au Tunisia) wakielekea Italy kwakweli sijakufahamu kwanini umeweka hii picha hapa,kiislam mfa maji anakwenda peponi 🙂

Pole upo mbali na ulimwengu, kwani hata mtiririko mzima wa tukio hilo hukulisikia, japo dunia nzima imelilalamikia. Na kwa maana hiyo Itally imelazimika kubadili sheria zao.

Kifupi tu, wavuvi walikatazwa kuwaokoa waliopata ajali hiyo, kisa wahamiaji haramu.-
 
Ulaya kuna waokoji wenye kazi zao kwanini wavuvi wainglie kuokoa,hizi ni nchi za sheria mvuvi anaweza kwenda kuokoa kesi ikamwangukia yeye,je haya yanayotokea huko Saud Arabia nani atakwenda kuwaokoa hawa waafrika ikiwa mfanyakazi mmoja wa nadani anapigwa na kijiji kizima.l

Lakini kwanini mnafananisha huu mkasa wa hawa warabu wa saudi arabia wa kuwanyanyasa watu weusi na kisa hichi cha wahamiaji waliozama kwa boti wakiwa wamefanya safari yao bila kilazimishwa na mtu
 
Kijana naona unasahau aibu za kwetu, tazama wanavyodhalilishwa hapa hapa kwenu:

Mwanamke anusurika kuuawa huko Bunda baada ya kukutwa UCHI huku akiwa ameshika kopo lenye Mavi na dawa

11/02/2013 habari za kitaifa 8 comments

(Picha ya Maktaba.)

JESHI la Polisi wilayani Bunda, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wenye hasira kali waliotaka kumuua mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Cha Nyerere katika mamalaka ya mji mdogo wa Bunda.

Soma zaidi: Mwanamke anusurika kuuawa huko Bunda baada ya kukutwa UCHI huku akiwa ameshika kopo lenye Mavi na dawa - MPEKUZI

Na hiki ni nini?:

a.jpg

Source: http://1.bp.blogspot.com/-FsF16Ah5lKw/UIV5werK5kI/AAAAAAAATME/4NuXlyJYgOE/s640/a.jpg

Unataka kusema nini wewe? hujuwi huyo alifanya kosa lipi hata akapigwa, hayo yanatokea hata hapa kwetu.

Katika huu mkasa kisa cha habari kinajielza wenyewe "Mwanamke kakutwa uchi na kopo la dawa",kwa upeo wangu mfupi wa kufahamu nafikiri huyu mwanamke amedhaniwa mchawi,ushirikina

lakini je hawa watu wanaopigwa na kuteswa na warabu wa Saudi Arabia wanakosa gani...,tafakari
 
Back
Top Bottom