SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kuishi nchi ya ugenini kuna challenges zake
kati ya binadamu ninaowachukia wewe ni mmoja wao.kwanza mdini,una roho mbaya,sura mbaya yaani wewe roho yako imejaa chuki na dhulma tu
Hizo video haziusiani na yaliyotokea Saudi Arabia (kufuatana na Wasaudi).Wengine wala siyo Waafrika. Kuna mmoja hapo ana piga keleke kuwa yeye anatokea Yemen.
Wewe umetazama picha tu, yaliyoandikwa hujayasoma? basi hata hayo niliyoyawekea nyekundu hujayasoma? kama Kiingereza kinakupiga chenga unaweza tumia "google translate" inasaidia.
Ngoja waarabu koko waje hapa kutetea, utashangaa!
Jamaa wanafanana na waithiopia au wasomali. Ila waarabu wanawaona wao ni waafrika tuu na wanawapiga. Alafu utakuta mijitu huku bongo ambayo inafanana na haojamaa wanaopigwa wakijita waarabu. Utumwa wa akili mbaya sana.
Kwa hiyo unamaanisha wasomali na wahabeshi ni waarabu koko??
Chuki zako zinakuja kila unapoona ninakuonesha kuwa wale unaowaabudu wewe ni watenda dhambi wakubwa. Padri alawitiwe halafu wewe ukaungame dhambi kwake, na mkitoka hapo huwa mnafurahi kuwa mmesamehewa dhambi! Mnashangaza sana: The Secret Gay Life of the Vatican: Inside a Hidden Netherworld of the Catholic Church | Vanity Fair
Ukiwa mwaabeshi au msomali au hata kufanana nao waarabu wanakuona wewe mwafrika. Lakini wewe ukiwa unajiona mwarabu kwasababu unafanana naasomi au waabeshi wakati waarabu wanakuona mwafrika basi na wewe ni mwarabu koko. Nakama utakuwa umesoma historia sekondari utakuwa unajua hilo. Au wewe ulipata division five
Kwanza Waithiopia wako wengi saud Arabia kuliko wageni wengine
Pili imani ya dini yao wengi wa waithiopia ni Orthodox christians
Kuwa wengi kunahusiana vipi na kupigwa?
Dini nayo inahusiana vipi na kupigwa?
Yaani kama mtu X ni mettiopia, anamaisha yake mauzir, anafanya kazi zake swafiii, wakimkuta tu njiani ni kipigo?
Hii ndio hali halisi iliyopo kwenye nchi takatifu nchi aliyozaliwa mtume Mohamad (saw),hii video inaonyesha familia nzima kuanzia watoto ,paka majirani imemfunga kamba na kumning'iniza mwanamke mfanyakazi wa ndani na kumuadhibu kwa kwa kumpiga
Chuki zako zinakuja kila unapoona ninakuonesha kuwa wale unaowaabudu wewe ni watenda dhambi wakubwa. Padri alawitiwe halafu wewe ukaungame dhambi kwake, na mkitoka hapo huwa mnafurahi kuwa mmesamehewa dhambi! Mnashangaza sana: The Secret Gay Life of the Vatican: Inside a Hidden Netherworld of the Catholic Church | Vanity Fair
Jionee mwenye faiza mambo ya warabu hayo