wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
I AGREE WITH YOU, HE IS TERRIBLY WRONG!!Here Gwajima is wrong!
Ndg. Askofu Gwajima wakati akimwombea mama mmoja alisikika akisema pepo toka aende kwa mkuu wa Dar es salaam , mama huyo alisikika akisema mbona haingiliki.
Hii ina tafsiri gani wana JF
Are you sure?Here Gwajima is wrong!
Nakubaliana nawe ndugu yangu. Hivi wasiomwamini Yesu Kristo wataujuaje uzuri wa Kristo? Nimemchukia kabisa huyo Mtoa Pepo!!Nikuulize tu kama hii vedeo umeiona na kuisikiliza!! Hivi mtumishi wa Mungu kweli unaomba pepo litoke kwa yule mama likamwingie Makonda! Huyu Mungu anayemwamini Gwajima sio tunaomwamini mm na wewe!!!!!
Mie hata siamini kama kweli Gwajima anaweza kufanya hivyo!