Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,916
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!
Tundu Lissu aliwashauri mwaka jana,ukawa upande ule ule
PGO ndio nini? Huyo Mwanadada ukimtazama mavazi yake ni polisi?PGO Inasemaje?
Anatakiwa Kuwekwa Lockup Kwanza, Askari Analia Njaa
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!
Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule
Laana hiyo. Kila mkila rushwa bado dhiki zinaendelea.
Police General OrderPGO ndio nini? Huyo mwanadada ukimtazama mavazi yake ni polisi?
Polisi sijui mifumo yao ya vyeo upojeHuyo askari mwanaume wangemstaafisha tu yaani miaka 27 ya kufanya kazi bado hana hata nyota ni sergent tu looo uvivu wa kusoma .Huyu anatakiwa aondolewe cheo hicho ni cha vijana wadogo tu zee zima sergent !!! Haoni aibu?
Elimu ni moja ya vigezo vikubwa .Huyo Askari kafanya kazi miaka 27 bado sergent ni unptoffessional soldier huyo alikuwa hataki shule huyo.Labda alikuwa vitengo vya kula rushwa sana akaona kusoma ujinga. Ndio.maana unaona ni mzee sana lakini ana kacheo kadogo na mshahara mdogoPolisi sijui mifumo yao ya vyeo upoje
Naisi polis mifumo yao ya kupanda cheo ni migum Sana tofaut na jwtz wao jwtz kwa mfano form six wakisha pata ajira baada ya kipind kifup wanaenda koz ukiitim vzur unapata nyota ndiyo maana Rais ana wavalishaga vyeo vijana, Sasa polis mpaka upate nyota moja umesha kuwa mtu mzima, huwez kimkuta polis mwenye nyota kijana wa miaka 25.Elimu ni moja ya vigezo vikubwa .Huyo Askari kafanya kazi miaka 27 bado sergent ni unptoffessional soldier huyo alikuwa hataki shule huyo.Labda alikuwa vitengo vya kula rushwa sana akaona kusoma ujinga. Ndio.maana unaona ni mzee sana lakini ana kacheo kadogo na mshahara mdogo
Naisi polis mifumo yao ya kupanda cheo ni migum Sana tofaut na jwtz wao jwtz kwa mfano form six wakisha pata ajira baada ya kipind kifup wanaenda koz ukiitim vzur unapata nyota ndiyo maana Rais ana wavalishaga vyeo vijana, Sasa polis mpaka upate nyota moja umesha kuwa mtu mzima, huwez kimkuta polis mwenye nyota kijana wa miaka 25.
Mtakoma. Yaani mpaka maji mtasema mma. Mitano tena
Hamna kitu kama hicho mimi kuna jamaa ni askari fire nae yupo zaidi ya miaka 15,kabla ya kupewa nyota yake ya kwanza alienda kozi ndio akapewa nyota.JWTZ mfumo ndio mgumu sasa maana kutokea askari kupata nyota lazima uende Chuo cha uafisa wakati Polisi,Magereza,Uhamiaji kutokea uaskari unaweza ukapewa tu nyota na mkuu wa jeshi eg IGP au CGP etc