Victoria Secret Fashion Show: Models With Natural Hair on the Runway

Hapa kwenye umbo la kichwa ndo kwenye issue mjue, kunyoa sio issue.

Ni muhimu mnyoo uendane na kichwa, ngozi ya sura halafu na umbo la mwili. Kimoja kati ya hivi kikizidi mwingine sana inakuwa tatizo kdg.
Nywele ndefu zinaficha mengi. :)

Yaani acha tu, haya machogo yetu yanafichwa vizuuri, sasa kichwa kama pentagon alafu unyoe jamani!!!
 
Eti kichwa kama Pentagon halafu na kipara?
Hahah!, lakini atoto.

Halafu ukutwe na mwili mdogo usioweza kuhimili umbo na uzito wa Pentagon..
 
Anijie juu wakati anajua alivyonipa taabu, nilichwanwa balaa. Hilo pentagon lake alafu lina kuchogo, kamwili sasa utafikiri anakula hewa. Sijui nani alimdanganya akanyoa.

Uwiiii!, hahaha, mie sijui nikajifiche wapi maana mwanao akija hapa moto wake sasa! :D

Ngoja mkweo Benny aje akute unamsema sweetpie wake. Halafu si alikwambia utafute parking ya helicopter, hiyo copter unanunuliwa wewe bi mkubwa au ndo swagga za mkwe!
 
Yaani nina mkosi wa wakwe hewa acha tu. Hakuna cha copter wala baiskeli.
 
Tehe!, huwezi jua bwana labda anajikusanya, akitoka hapo tupa mbali copter, utakuwa mwendo wa Jet tu kama ya Trump, lakini yake itakuwa na maandishi makubwaa ya..BENNY
 
Sawa bwana BAK nimekubali, na hiyo miondoko naona ndo inakufanya utake muda uongezwe...lol

Bruno Mars always reminds me of the late, young Michael J.

images.jpg
images8H6FC89K.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na sasa hivi anatoa nyimbo nzuri sana akiendelea hivi anaweza kuendelea kujijengea jina kubwa sana kwenye Ulimwengu wa Muziki. Hii album yake ya sasa 24K inafanya vizuri sana kwenye sales na kwenye charts za nchi nyingi duniani. Nadhani hata hilo afro lake alikuwa anajaribu kumuiga Michael Jackson.

Sawa bwana BAK nimekubali, na hiyo miondoko naona ndo inakufanya utake muda uongezwe...lol

Bruno Mars always reminds me of the late, young Michael J.

View attachment 445177 View attachment 445178
 
  • Thanks
Reactions: kui
Na sasa hivi anatoa nyimbo nzuri sana akiendelea hivi anaweza kuendelea kujijengea jina kubwa sana kwenye Ulimwengu wa Muziki. Hii album yake ya sasa 24K inafanya vizuri sana kwenye sales na kwenye charts za nchi nyingi duniani. Nadhani hata hilo afro lake alikuwa anajaribu kumuiga Michael Jackson.

Inawezekana alikuwa anajaribu kumuiga, na kama anajua wamefanana kwa mbali.
Yeah kwa kweli anakuja juu, ki music.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom