Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Habari za Jumapili?
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi.
Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho.
Wanawake wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na dress za kutosha kutokana na madeni ya Vikoba.
Wanawake wengine hunyang'anywa fenicha kutoka na madeni ya Vikoba.
Sasa wamefikia hatua hadi ya kujiua ili kukimbia madeni ya Vikoba..
Rai yangu kwa wanawake waache tamaa za kukopa pesa za vikoba ili kufanyia matumizi ya kawaida kama kununua nguo,kusuka,wigi nk mwisho wake huo mbaya sana.
Bora mdange mtaaumiza sehemu zenu za siri na kupata magonjwa lakini sio kukopa vikoba na kutumia kwa anasa mtaadhirika sana!!View attachment 2330762
Usiwahukumu kabisa zote ni hustling kupambania familia kuliko kukaa bila ya kazi.Wanawake zetu wana tamaa ya kupata pesa bila kufanya kazi… ndio maana utakuta wanadanganywa kuanzia
1.Vikoba
2.Biashara za mtandao sijui neolife, forever living
3.Upatu kama Blockchain sijui B9, Deci
4. Kwenye dini na imani nyingine kama kwa mwamposa , waganga kienyeji
Wana roho ndogo sana hawa wapendwa wetu
Ninachojua na nina uhakika nacho Kiuzoefu ni kwamba 90% ya Wadada / Wanawake walioko katika VIKOBA ni Wasaliti kwa Waume na Wapenzi wao halafu ndiyo Wanaongoza kwa Uwongo na ni wapenda Ushirikina huku wakiwa na PhD's za kupenda Majungu na Wivu wa Kipumbavu.Habari za Jumapili?
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi.
Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho.
Wanawake wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na dress za kutosha kutokana na madeni ya Vikoba.
Wanawake wengine hunyang'anywa fenicha kutoka na madeni ya Vikoba.
Sasa wamefikia hatua hadi ya kujiua ili kukimbia madeni ya Vikoba.
Rai yangu kwa wanawake waache tamaa za kukopa pesa za vikoba ili kufanyia matumizi ya kawaida kama kununua nguo, kusuka, wigi nk mwisho wake huo mbaya sana.
Bora mdange mtaaumiza sehemu zenu za siri na kupata magonjwa lakini sio kukopa vikoba na kutumia kwa anasa mtaadhirika sana!!View attachment 2330762
Kuna sisi ambao tunapata baraka na sapoti kubwa sana kutoka kwa waume zetu....na sisi ni kundi hili au sisi ni speshoNinachojua na nina uhakika nacho Kiuzoefu ni kwamba 90% ya Wadada / Wanawake walioko katika VIKOBA ni Wasaliti kwa Waume na Wapenzi wao halafu ndiyo Wanaongoza kwa Uwongo na ni wapenda Ushirikina huku wakiwa na PhD's za kupenda Majungu na Wivu wa Kipumbavu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ntatafuta kikoba kipya....walau niwe na viwili
Hapo juu nimesema 90% au 100%?Kuna sisi ambao tunapata baraka na sapoti kubwa sana kutoka kwa waume zetu....na sisi ni kundi hili au sisi ni spesho
Mi hata sina stress na vikoba kwakeli kwangu ni msaada sana....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ili uongeze stress?
Ooh hallelujahHapo juu nimesema 90% au 100%?
Usilazimishe Msoto ulioupitia au Wazazi wako Kukopo hovyo ili Usome ndiyo iwe ni kwa Kila Mtu hapa JamiiForums sawa? Wengine Wazazi wao walijua maana ya Kusevu ( Saving ) na pia walikuwa na Connection nyingi abroad and overseas hivyo Watoto wao hawakusoma kwa Mkopo bali walisoma kwa Uhuru, Amani na Furaha tele tu.Mkeo akiwa kwenye vicoba..
Piga talaka 6 ..
Anyway hao wanawake wanapitia mengi sana kwenye ndoa zao, unakuta mwengine singo maza na ana watoto pia wanasoma.
Ada, sare anatoa wapi? Kama sio huko vicoba.
Watoto wana survive sikuhizi kwa sababu ya vicoba.
Pia wengi wetu humu tumesomeshwa kwa mikopo japo hakuna anayekubali.
Baba yako alipoweka bondi shamba ili ukasome chuo nako si mkopo tu?
Tuilaumu serikali maisha hayaelezi kabisa.