Vicky Ntetema ajificha baada ya ripoti BBC

nimemsikia asubuhi waziri lawrence masha akihojiwa na bbc kuhusu mauaji ya albino alikuwa mkali sana anadai swala lina kuzwa hili na hao wauaji wanashughulikiwa kama kesi zingine.huyu jamaa sikumwelewa.

je kama ndo wanamweka hapoi alipo lazima ahamaki , na damu za waliouwawa kwa hujuma za uchawi zitawafuata siku zote za maisha yao
 
Mkutano wa Freemason unapofanyika hapa nchini - unatengemea nini? nguvu za giza kila kona ya maisha. Nchi imemwasi Mungu - Ehe Mungu tuokoe wanao.
 
Sifikiri kama "usalama wa taifa" wanalipa hili priority.
UwT wapo fro front kuwalinda walioko madarakani.
ya alibino, na sisi wengine ni mijusi tu kwao
 
wafanya biashara wanali
ardhi inaharibiwa (mazingira)
samaki wanaibiwa (magufuli)
mwanza mapanki
wakulima wanalia masoko na bei ya mbolea
barabara mbovu
foleni kibao dar
maji hakuna
shule za kata hovyo
mabango ya jk
kongwa inamegwa
yaani vilio tuu nchi njima
 
Usalama wa taifa wapo busy na kumrudisha mkulu ikulu....... Hao albino hata hivyo kama JK alivyowaambia watoto wa kike mashuleni wanaopata mimba kuwa ni viherehere vyao...who knows...labda JK atawaambia albino watumie mapanga,marungu, na ikibidi waunde sungusungu zao kujilinda.... maana vyombo official vya ulinzi na usalama viko busy kumrudisha madarakani, kuwalinda mafisadi...etc
 
Inflation ya Zimbabwe ni historia haipo tena kwani kwa sasa wanatumia US$ kwa hiyo Zimbabwe na USA ngoma droooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…