Kuna news za kusikitisha kiasi fualani, nilisikia hapa kwetu Magomeni Manda Street. Stori ilikuwa ndeefu, lakini jina la V.K lilikuwa kama main character. Kwa ufupi simfahamu hata kwa sura, na wadhifa wake ndani ya nchi hii, lakini ndani ya stori wasifu wake ulikuwa mzito kupita maelezo.