Hilo naona watu wanajipa promo na kuongeza kipato kwenye buss zao , mwenyewe si amejibu yuko kwake hajakamatwa, tunataka hilo zito aombewalo liwe jepesi!!.Labda la kudakwa na polisi mkuu hilohilo liwe jepesi zaid ya unyoya..
Hilo naona watu wanajipa promo na kuongeza kipato kwenye buss zao , mwenyewe si amejibu yuko kwake hajakamatwa, tunataka hilo zito aombewalo liwe jepesi!!.
Haya kama hutaki kuning'ata sikio na hilo" zito liwe jepesi " yaani nina hamu ya kulijua!!, kama hutaki kumwaga hapa basi tumia njia nyingine unimegee.Kwani wachangiaji wengi wamesoma habari basi wamecomment kichwa cha habari tu..
sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.Uko sahihi sana kwa madai ya magige hakujua aliyekua anamtukana akaripot polisi na uchunguzi wa polisi ndo ukabaini hilo.. kwa kujazia hawa bado ni vijana bado wanasafari mdefu kisiasa na huu sio muda wa kulumbama ni kupambana kwa maslahi ya wananchi ushauri wa bure najua upp utartibu wa bunge katka jambo kama hili wangewaita hawa wadada wote wawapatanishe bifu lao ni la muda sasa kila siku kujengeana mazengwe na makashfa magazetini na mitandaoni sio ishu kabisa...
Mmmmh ila dada hapa ni ishu ya kudakwa na polisi ndoa haimo wamuonea tu post za ndoa yake zimejaa tele humu au ujaziona?? Yuko sawa hajakosea..
Ila pia la ndoa si linamuhusu yy??pia au kuna mipaka ya kuuliza kama alikua hana majibu asingenijibu..angewaachia wenye majibu khaaa!!
sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.
swali ni kwamba wameingiaje
Kwa hiyo habari ni ya uongo?
ndhani lina muktadha wake na huku kudakwaIla viti maalum wapo wengi sana hata chadema wana viti maalum wengi tu akina Asha rose migilo ni viti maalum pia na hata Mbatia aliteuliwa au nae ndo nanilii??? Au ????...... suala la kuingiaje nadhani tuliweke pembeni. Tuje ishu ya Vicky kudakwa na polisi
Kuna ukweli wenye uongo mwingi sana inawezkana suala lilifika polisi lakini hakukamatwa na kwa taarifa za ndani kabisa hata iyo kesi haipo ila kuna bifu la mda mrefu sana la hawa wadada na kazi yao ni kulipuana tu kila anayepata fursa ya kumlipua mwenzake analipua tu japo Vicky kazidiwa ndo mana analipuliwa sana kuliko anavyowalipua wenzake nadhan hawa wadada akina magige wamejipanga kuliko vicky...
Inawezekana unayosema wananchi tunawalipa posho kazi wanayoifanya Ni kupigana vijembe hawa viti maalumu hakuna cha maana wanajaza ukumbi Tu hii nchi hii we ngoja.
alianza certicicate ya ualimuHuyu mheshimiwwa nimeona cv yake nikashindwa kuelewa alikua na ndoto za kufanya Kazi gani alipokua mdogo
Viti maalum bwana.....yaani wivu tu hamna lolote.
Watu wenye busara walishauri hivi viti maalum bungeni vifutwe lakini hawa wahuni wakware magamba wanataka viendelee ili waendeleze ukware wao kwa kutumia kodi za wananchi!! Mnaona sasa ,hawa wanawake wanayoyafanya huko bungeni?