Vichwa vya habari vya magazeti ya leo

Vichwa vya habari vya magazeti ya leo

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,351
Reaction score
8,088
Nitoe shukrani za dhati kwa gazeti la Mwananchi na wengine wooote mliofanikisha misheni hii kwa namna yoyote ile.

IMG-20170725-WA0008.jpg
IMG-20170725-WA0007.jpg
IMG-20170725-WA0006.jpg
IMG-20170725-WA0005.jpg
IMG-20170725-WA0004.jpg
IMG-20170725-WA0002.jpg
IMG-20170725-WA0001.jpg
 
Hizi bangi za Asubuhi asubuhi......Kwa akili zako nusu hii nayo umeona HABARI hapa JF??????
Afu who is LISSU by the way????kaa utambue hizi Vurugu zake za kibangi bangi hata haziungwi mkono na VIONGOZI wa juu wa CHADEMA na ndio maana hata MBOWE hajawai toa tamko juu ya kinachoendelea kwa LISSU wala hata kumpa kmpani mahakamani kwenye kesi zake NYINGI zinazomkabili.....Bali MBOWE na watu wake wanamuona LISSU kama threat kwa mustakali wa CHADEMA kuelekea 2020.....anachokifanya LISSU leo hakina tofauti na alichokuwa anakifanya WHITE HAIR kipindi yupo CCM.........
N a hili halina UBISHI LISSU ni threat kubwa sanaa juu ya mustakabali wa CHADEMA...WENYE AKILI KAMWE HAWEZI PINGA HIKI......
 
Tatizo kazidi hata hii ziara naona anafanya kampeni kwani vitu anavyovipigania ni vitu ambavyo ni stahiki ya kila mtanzania
 
Hizi bangi za Asubuhi asubuhi......Kwa akili zako nusu hii nayo umeona HABARI hapa JF??????
Afu who is LISSU by the way????kaa utambue hizi Vurugu zake za kibangi bangi hata haziungwi mkono na VIONGOZI wa juu wa CHADEMA na ndio maana hata MBOWE hajawai toa tamko juu ya kinachoendelea kwa LISSU wala hata kumpa kmpani mahakamani kwenye kesi zake NYINGI zinazomkabili.....Bali MBOWE na watu wake wanamuona LISSU kama threat kwa mustakali wa CHADEMA kuelekea 2020.....
Ulitaka uongozi wa juu wa chadema useme nini hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi bangi za Asubuhi asubuhi......Kwa akili zako nusu hii nayo umeona HABARI hapa JF??????
Afu who is LISSU by the way????kaa utambue hizi Vurugu zake za kibangi bangi hata haziungwi mkono na VIONGOZI wa juu wa CHADEMA na ndio maana hata MBOWE hajawai toa tamko juu ya kinachoendelea kwa LISSU wala hata kumpa kmpani mahakamani kwenye kesi zake NYINGI zinazomkabili.....Bali MBOWE na watu wake wanamuona LISSU kama threat kwa mustakali wa CHADEMA kuelekea 2020.....
N a hili halina UBISHI LISSU ni threat kubwa sanaa juu ya mustakabali wa CHADEMA...WENYE AKILI KAMWE HAWEZI PINGA HIKI......
Jamaa una nongwa!
kwa hiyo hayo magazeti nayo ni bangi!?
 
Haya maazeti sasa yanataka kufungiwa! Yaani ile shughuli ya mkuu kule Tabora haikutokeza kabisa 'font ffeg'. Mwakyembe inabidi ashughulike!

!
!
Mwakyembe lazima akitaka huko aliko achimbe mikwara sana, na akijaribu tu kuchimba biti, Bilioni linachukua fent ford
 
Magufuli si maarufu, bali analazimisha umaarufu. CHADEMA msimamisheni Tundu Lissu kwenye kinyang'anyiro cha urais 2020 ili amfurushe huyu dikteta.

!
!
Katika kila kani kuna kani mbadala inayopingana nayo. Lissu kaonesha uwezo mkubwa sana. Lissu ni sawa sawa na wao wote skwea
 
Hizi bangi za Asubuhi asubuhi......Kwa akili zako nusu hii nayo umeona HABARI hapa JF??????
Afu who is LISSU by the way????kaa utambue hizi Vurugu zake za kibangi bangi hata haziungwi mkono na VIONGOZI wa juu wa CHADEMA na ndio maana hata MBOWE hajawai toa tamko juu ya kinachoendelea kwa LISSU wala hata kumpa kmpani mahakamani kwenye kesi zake NYINGI zinazomkabili.....Bali MBOWE na watu wake wanamuona LISSU kama threat kwa mustakali wa CHADEMA kuelekea 2020.....
N a hili halina UBISHI LISSU ni threat kubwa sanaa juu ya mustakabali wa CHADEMA...WENYE AKILI KAMWE HAWEZI PINGA HIKI......
Very true.. Tusubiri tuone mwisho wake

Hahaa mkuu mbona povu au ndo hasira ya kutokutokea 'fenti fod'
 
Hizi bangi za Asubuhi asubuhi......Kwa akili zako nusu hii nayo umeona HABARI hapa JF??????
Afu who is LISSU by the way????kaa utambue hizi Vurugu zake za kibangi bangi hata haziungwi mkono na VIONGOZI wa juu wa CHADEMA na ndio maana hata MBOWE hajawai toa tamko juu ya kinachoendelea kwa LISSU wala hata kumpa kmpani mahakamani kwenye kesi zake NYINGI zinazomkabili.....Bali MBOWE na watu wake wanamuona LISSU kama threat kwa mustakali wa CHADEMA kuelekea 2020.....
N a hili halina UBISHI LISSU ni threat kubwa sanaa juu ya mustakabali wa CHADEMA...WENYE AKILI KAMWE HAWEZI PINGA HIKI......

!
!
Najibu swali moja moja...
1. Ndio ni habari.
2. Lissu ni Nani? Kifupi tu pitia magazeti Ya leo. Ni mtanzania aliyemfunika font fed akiwa mahabusu.
3. Mengine ya chadema na mbowe hapa sio Mahali Pake, haya kuhusu.
 
Back
Top Bottom