vichwa vya habari vinavyoongoza JF leo

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Labda ni kwa mtizamo wangu tu, lakini thread zilizoongoza JF leo ni zile zilizoko kwenye Mahusiano na mapenzi.
Kila corner,, miti shamba kwenye mapenzi,,, niguse hapa,,,,,kama hivi kama vile. Ni hangover ya sikukuu ama?
 
sexual oriented minds. We hushangai wazungu wanahangaika kutafuata dawa ya UKIMWI ,sisi ndo kwanza wataalamu wetu wanahangaika kutengeneza dawa za kuongeza nguvu za kiume.aaagh
 
Miti shamba/mizizi ina nguvu katika mapenzi?
Labda tumuulize yule jamaa rasta wa Maisha Plus kama ni kweli maana amecheza navyo tangu akiwa na miaka 7
 
Ile ya DECI naona watu wamesha choka wimbo wake umekuwa unavuma sana kila kukicha.
 
sexual oriented minds. We hushangai wazungu wanahangaika kutafuata dawa ya UKIMWI ,sisi ndo kwanza wataalamu wetu wanahangaika kutengeneza dawa za kuongeza nguvu za kiume.aaagh

Bravo...
Yani wezungu wanapunguza population kwa kufanya uzazi wa mpango huku sisi tunatafuta watoto wengi kuwa slogani kuwa "KILA MTOTO NA RIZIKI YAKE"
 
Back
Top Bottom