Vichekesho vya CHADEMA kuelekea uchaguzi 2020

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wanabodi, Kuna usemi unasema kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji

CHADEMA ni chama cha kupiga makelele na sio kelele tu bali kelele zenye vichekesho na vituko ndani yake.

Kuelekea uchaguzi October 2020 tayari walishashindwa kabla ya kampeni kuanza, Wamejawa hofu ya kutokujiamini na shutuma ambazo hazieleweki kwa wanakijiji kule Nanjilinji, Kipoke, Ndembela, Lupaso, Magagula na hata Busokelo kijijini ndani huko kwa Prof Mark J Mwandosya

CHADEMA Yapasa mtambue safari hii chama cha mapinduzi Tutashinda na sio kushinda tu Tutashinda kwa kishindo kikuu.

Huko vijijini wakulima hawana smartphone wala hawajui kama kuna YouTube, Tweeter au Instagram, Wanakijiji wakiamka asubuhi wanaenda shamba kulima, Muda wa kusikiliza habari ni jioni au kwenye vilabu vya pombe za kienyeji

Tutashinda huko vijijini kwa mshindo mkuu na sio kishindo tena, Mpaka sasa huko Nanjilinji, Busokelo, Mpitimbi, kilosa tulishawapiga chini kabla ya October 2020

Vijana mnaowategemea ni choka mbaya hawana kitu mfukoni hata pesa ya nauli au kula au kuvaa hawana, Wanapiga kelele vitambulisho vya kupiga kura hawana, Maisha yamewapiga wako dhoofu bin taabani, Hawa vijana kichwani wana elimu ya kukariri makaratasi darasani tu bali elimu ya kufikiri hakuna

Tumebakiwa na kundi la watu wazima na akina Mama, Hawa tayari mnawaona akina Mama na Madela tayari wakiunga mkono ccm kwa kigezo cha vituo vya afya na maji kila kona ya nchi

Hii nchi tambueni watu ni wazalendo na waoga sana sana, Wengi wamezaliwa hapa na watazikwa hapa, Ndio maana wimbo wa Taifa unapoimbwa watanzania wengi huwa na Furaha moyoni iliyofunganishwa na uvumba wa mwenge wa uhuru ambao huwapumbaza na kuwajengea umoja usio na kifani

CHADEMA sasa wanalialia kabla hata hatuja tumia SHiKwaMBi

Hivi tukitumia SHIKWAMBI ( Shinda kwa Mbinu iwe Jua au Mvua) si mtaishia kulalamika tu YouTube na Tweeter

Mkitupanda kichwani na kulalamika kama watoto wachanga sasa tutatumia Shikwambi
 
Leo ni tarehe 25 August. Mwambie Meko na NEC yake wathubutu kumuengua Lissu then utazimia na mtiti utakaotokea.

Hivi Meko mbona ni mwoga sana wa siasa za ushindani. Yeye si ni mtaalam wa kujenga madaraja nchi nzima?
Anahofia nini sasa. Mwambieni amwache Lissu asimame kwenye kinyang'anyiro halafu watanzania waamue ni nani anafaa kuongoza nchi kwa sasa.
 
Kwani Meko kakwambia atamuengua Lisu kwa kosa gani?
 
Leo ni tarehe 25 August. Mwambie Meko na NEC yake wathubutu kumuengua Lissu then utazimia na mtiti utakaotokea.
Haenguliwi mtu hapa,Tundu lissu hata asipotia saini fomu yake apitishwe tu
Tunataka ushindi usio na mawaa,mkose Cha kusema
 
Leo ni tarehe 25 August. Mwambie Meko na NEC yake wathubutu kumuengua Lissu then utazimia na mtiti utakaotokea.

Hivi Meko mbona ni mwoga sana wa siasa za ushindani. Yeye si ni mtaalam wa kujenga madaraja nchi nzima?
Anahofia nini sasa. Mwambieni amwache Lissu asimame kwenye kinyang'anyiro halafu watanzania waamue ni nani anafaa kuongoza nchi kwa sasa.
Sasa tayari tumewamaliza
 
Hivyo watanzania hamuoni aibu kuwa serikali inashika hatamu bila kuchakuliwa na wananchi!
Halafu mnaongea eti upinzani umekwisha! Aliyekwisha ni yule mwizi!
 
Back
Top Bottom