Vicent nyerere mbuluze mkapa mahakamani for personal attack. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vicent nyerere mbuluze mkapa mahakamani for personal attack.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by politiki, Mar 15, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kitendo cha mkapa kuulizia undugu wa vicent na nyerere kwenye jukwaa la siasa ni wazi kuwa alikuwa na nia ya kumdhalilisha au kumchafua hadharani wakati anawajua watoto wa nyerere na mkewe pia bado yupo hai angeweza kuwauliza na kupata jawabu lake. kwahiyo mhe.nyerere anayo nguvu ya kisheria ya kuweza kumburuza mahakamani for slander or defamation of character.
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Haina haja kwenda katika mahakama hizi za kifisadi za CCM, huku alikoshtaki kwetu sisi wananchi tulio mlilia baba wa taifa ni zaidi ya mahakama. Tunawaambia watoto wetu kuwa historia imepotoshwa na ukweli umejulikana kuwa Mwl Nyerere aliuwawa na Rais Mkapa kwa tamaa yake ya kuiba rasilimali za nchi. Na watoto wetu watawaambia watoto wao na habari hii itaendelea kwa vizazi vijavyo katika Tanzania. Adhabu hii kwa Mkapa ni zaidi ya hukumu ya mahakama
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  nimemchukia mkapa kama nini, lala salama mwalimu
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  nakubaliana nawe lakini sheria mbaya za nchi hii zilimlinda lakini kwa hili amefungua mwenyewe pazia na kuwanyooshea kidole wabongo kwahiyo ni mwanya mzuri wa ku hit back.
   
 5. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  walimu kama sisi,atanikoma nitatumia taaluma yangu kutoa elimu kwa watoto kwa watu kama hawa wanaoliteketeza taifa.
   
Loading...