Vicent Nyerere amuumbua Rais Kikwete..

Vicent Nyerere amuumbua Rais Kikwete..

Mkuu hivi Vicent Nyerere naye kweli ana ubavu wa kupambana na Kikwete. Kashindwa Dr Slaa, Mbowe. Ataweza Vicent.

Hakuna aloshindwa kupambana na Kikwete, kinachomsaidia Kikwete ni dola tu!
 
Ah Ritz nawe bwana! Yaania Kikwete anaweza Ku-debate na Dr. Slaa? Maana 2010 Dr.Kikwete alikimbia mdahalo.Pengine mwenye uwezo wa kupambana kwenye debate ni Ben Mkapa. Huyu ukimweka ulingo mmoja na Dr. Slaa walau kutakuwa na mpambano. Ila Kikwete kwa Dr. Slaa hachomoki! Nasema ku-debate kwenye issues sio mashindano ya vijembe vya kwenye taarabu na mipasho- hapa Kikwete anaweza kushinda kwa points.

sana sana slaa debate anayoweza ni kuhusu mbinu za kunyang'anya wake za watu na kutelekeza familia
 
Mie naona WATAYARISHE MAWE TU KWANI HAWANA JIPYA HAO WALA MAJIBU YOYOTE ........ KAZI KULA ALLOWANCE ZA KUZUNGUKA ............ SHAME ON THEM!!!!

na allowance za udisko joker
 
No comment,cmjui Vicent,wala cjawahi kusikia hotuba yake
 
Nadhani ingalikuwa busara kumuuliza mtoa uzi huu kuwa " Ni mapambano yepi Vicent Nyerere hamuwezi JK?" Swali hili lisipojibiwa tutahangaika sana kutafuta ni mapambano gani anayakusudia, vigezo gani vinatumika kuwapambanisha na ushindi unapatikanaje? Kama swali halikueleweka, hata ungejibu kwa mantiki ya aina yoyote ile si ajabu kufeli maana utapishana na muuliza swali. Yawezekana JK akamshinda Vicent lakini kwa vigezo usivyo vitarajia. Pengine kwa kigezo cha kuanguka mikutanoni who knows, pengine kwa kutabasamu, pengine kwa uhandsome, pengine kwa kusafiri pengine kwa udiplomat. Kuna vigezo ambavyo bila ubishi JK ni mahiri lakini pia kuna vigezo ambavyo Vicent anampiku JK, Kutaja kwa uchache siasa za maji taka Vicent ni kinara.
Ni kweli mkuu vicenti Nyerere hawezi kupambana na JK kwa kuwa yeye ana ndimi tatu na Nyerere ana ndimi moja.

Pia Vicenti Nyerere hawezi kupambana na JK kama ambayo Mr dhaifu asivyoweza kupambana na EL,

Pia Vicenti Nyerere hawezi kupambana na JK kama ambavyo JK mwenyewe asivyoweza kupambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa EPA, wamiliki wa Kagoda na Richmond, Wezi wa madini yetu na twiga kwa sababu yeye naye ni mwizi na anashare kwa wezi woote wa nchi hii, lakini Pia JK kanaumwa ndio maana huanguka majukwaani.


Vicent Nyerere hawezi kupambana na watu wenye ndimi zaidi ya Moja kwa kifupi, kwani hao si watu bali ni Mashetani, maruhani na Majini ya sisiemu, kwani ndiyo yanayomlinda Dhaifu ikulu alipewa na Shekhe yahya na ndio maana anawalipa mshahara kutokana na kodi zetu waganga woote wanaoenda kumpa majini ikulu.

Unalingine?
 
kamanda hapo umeongea point ccm ni janga la taifa
 
Back
Top Bottom