Vicent Nyerere amuumbua Rais Kikwete..

Mkuu hivi Vicent Nyerere naye kweli ana ubavu wa kupambana na Kikwete. Kashindwa Dr Slaa, Mbowe. Ataweza Vicent.

Naomba ubadirishe avatar yako mkuu maana kila nikikuona mie na wanangu tunatishika. Do me a favor please!
 
Tunataka watakapopita Mbinga, Mbozi, Mafinga, Kagera, Rombo, Moshi, Arumeru na maeneo mengine yanayolima kahawa waje na waziri wa kilimo na waziri wa ushirika na masoko watueleze wanao mpango gani kuwasaidia wakulima wa kahawa ambao wanaathiriwa na anguko la bei ya kahawa. Asipokuja na majibu ya kueleweka si kuwa atazomewa kama walivyozomewa na wakulima wa korosho bali watatwangwa mawe.
Ukitaka mpango huo huwa wanao wa geresha kwenye mikoba yao na wanaweza kukupa hapo hapo lakini utekelezaji wanajua ni zero. Nakushauri usiombe hilo ila wazomee na kuwafukuza maana hawana jipya maana hakuna anayejua chimbuko la umaskini wetu!
 
Hana uwezo?????????????..................Mi usinichekeshe hapa na ukanifanya nipate hata mawazo mengine tofauti
 
Wote wamegaragazwa vibaya kwenye uchaguzi wa rais au ulikuwa bado ujamfuata Dr Slaa.

Wote tunafahamu aliyeshinda uchaguzi wa NEC ........................ No wonder matokeo yalichukua wiki mmoja badala ya siku mbili kama NEC walivyokuwa wameahidi before!!
 
Tunataka watakapopita Mbinga, Mbozi, Mafinga, Kagera, Rombo, Moshi, Arumeru na maeneo mengine yanayolima kahawa waje na waziri wa kilimo na waziri wa ushirika na masoko watueleze wanao mpango gani kuwasaidia wakulima wa kahawa ambao wanaathiriwa na anguko la bei ya kahawa. Asipokuja na majibu ya kueleweka si kuwa atazomewa kama walivyozomewa na wakulima wa korosho bali watatwangwa mawe.

Mie naona WATAYARISHE MAWE TU KWANI HAWANA JIPYA HAO WALA MAJIBU YOYOTE ........ KAZI KULA ALLOWANCE ZA KUZUNGUKA ............ SHAME ON THEM!!!!
 
Mawazo sio kukinusuru chama bali kuongeza pato kwa kujikingia Nights za safari.
 
Nimeamin chadema ni watu wakutafuta umaarufu,jivi vicent nyerere ana kipi cha kushindana na kikwete?kwanini asijitafutie umaarufu kwa mambo ya maana jimbon mwake?nimeamini chadema wote wana akiri za ibirisi waoo slaa
 
Kanda ya ziwa ccm imebakiza mkia, ambao unasubiri kuliwa ili habari yake ikwishe kabisa.
 
Mkuu hivi Vicent Nyerere naye kweli ana ubavu wa kupambana na Kikwete. Kashindwa Dr Slaa, Mbowe. Ataweza Vicent.

Ah Ritz nawe bwana! Yaania Kikwete anaweza Ku-debate na Dr. Slaa? Maana 2010 Dr.Kikwete alikimbia mdahalo.Pengine mwenye uwezo wa kupambana kwenye debate ni Ben Mkapa. Huyu ukimweka ulingo mmoja na Dr. Slaa walau kutakuwa na mpambano. Ila Kikwete kwa Dr. Slaa hachomoki! Nasema ku-debate kwenye issues sio mashindano ya vijembe vya kwenye taarabu na mipasho- hapa Kikwete anaweza kushinda kwa points.
 
Mkuu hivi Vicent Nyerere naye kweli ana ubavu wa kupambana na Kikwete. Kashindwa Dr Slaa, Mbowe. Ataweza Vicent.

If my brain still serves me well, ninakumbuka mara ya mwisho tulipotaka kuwa pambanisha Dr. Slaa na JK kwenye mdahalo, Dr. JK aliweka mpira kwapani. (read alikimbia mdahalo).

Just imagine eti Baraka Obama anakimbia mdahalo dhidi Mitt Romney?!. Ni Tanzania tu Mtu anaweza kuchaguliwa Rais (kama kweli alichaguliwa) wakati alikimbia mdahalo. Mbona mwenzake Mkapa aliweza dhidi ya akina Mrema, Lipumba, Cheyo. What is wrong with JK?
 
vicent nyerere anamuweza kikwete kwa vitu vingi sana ikiwemo political legitimacy,na ndio mana aliweza kumkimbiza mzee mkapa arumeru
 
Mkuu hivi Vicent Nyerere naye kweli ana ubavu wa kupambana na Kikwete. Kashindwa Dr Slaa, Mbowe. Ataweza Vicent.

Kama kweli mkuu unalolisema kwamba Dr Slaa hana ubavu wa kupambana na Kikwete kwanini wakati ule wa kampeni CCM ilikataa kufanya mdahalo kati ya SLAA na Kikwete
 
Vicent huyu huyu anaejipendekeza na kujibandika katika ukoo wa nyerere
 
vicent nyerere anamuweza kikwete kwa vitu vingi sana ikiwemo political legitimacy,na ndio mana aliweza kumkimbiza mzee mkapa arumeru

anayempa ugali vicent anamheshim kikwete leo yeye huyo vicent anajifanya baba,ngoja wanaume wamfanyie tizi
 
Back
Top Bottom