Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,420
Jana katika mkutano wa kampeni wa mbunge wa Musoma anayesubiriwa kurudi mjengoni tena Kamanda Vicent Nyerere hapa Musoma alitoa kali ya mwaka kwa kumchana Magufuli aache ulimbukeni wa kisiasa majukwaani.
Kamanda Nyerere alisema kimsingi Presidential material hatakiwi kujibu kila tuhuma anazorushiwa.
Akitolea mfano alisema Magufuli alipotaniwa kidogo tu kuhusu afya yake akapiga Push-up jukwaani, alipoulizwa kuhusu Mke wake kutoonekana majukwaani akampandisha jukwaani akilalamika yeye si BACHELA, alipoona mwezie anajichanganya uswazi akakimbilia kupika UGALI, akawauliza mafuriko waliojitokea vipi kama akitaniwa HAJATAHIRIWA atafanya nini????
Amemtaka Magufuli kujifunza kutoka kwa mgombea mwenzake Kamanda Eddo ambaye huwa hajibu kila kitu, na hio ndio hekima ya Presidential Material.
Kamanda Nyerere leo karuka na chopa na atakua Bukoba kuendelea na kampeni za Ukawa kwani wana Musoma wamemwambia hana haja ya kupiga kampeni jimboni kwake, wanasubiri tu amlete Eddo hiyo tarehe 10 hapa Musoma.
Viva NYERERE, viva UKAWA,