Vicent Nyerere amchana Magufuli

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,417
Jana katika mkutano wa kampeni wa mbunge wa Musoma anayesubiriwa kurudi mjengoni tena Kamanda Vicent Nyerere hapa Musoma alitoa kali ya mwaka kwa kumchana Magufuli aache ulimbukeni wa kisiasa majukwaani.

Kamanda Nyerere alisema kimsingi Presidential material hatakiwi kujibu kila tuhuma anazorushiwa.
Akitolea mfano alisema Magufuli alipotaniwa kidogo tu kuhusu afya yake akapiga Push-up jukwaani, alipoulizwa kuhusu Mke wake kutoonekana majukwaani akampandisha jukwaani akilalamika yeye si BACHELA, alipoona mwezie anajichanganya uswazi akakimbilia kupika UGALI, akawauliza mafuriko waliojitokea vipi kama akitaniwa HAJATAHIRIWA atafanya nini????

Amemtaka Magufuli kujifunza kutoka kwa mgombea mwenzake Kamanda Eddo ambaye huwa hajibu kila kitu, na hio ndio hekima ya Presidential Material.

Kamanda Nyerere leo karuka na chopa na atakua Bukoba kuendelea na kampeni za Ukawa kwani wana Musoma wamemwambia hana haja ya kupiga kampeni jimboni kwake, wanasubiri tu amlete Eddo hiyo tarehe 10 hapa Musoma.

Viva NYERERE, viva UKAWA,
 
Ni kweli kamanda lakini magufuli anafanya kwa shinikizo la chama, huoni chama kimekaakaa kama kikundi cha waimba taarabu..!?

kile ni chama cha wasanii ila wanaogopa kubadili jina. kilitakiwa kiitwe ccu
 
Jana katika mkutano wa kampeni wa mbunge wa Musoma anayesubiriwa kurudi mjengoni tena Kamanda Vicent Nyerere hapa Musoma alitoa kali ya mwaka kwa kumchana Magufuli aache ulimbukeni wa kisiasa majukwaani.

Kamanda Nyerere alisema kimsingi Presidential material hatakiwi kujibu kila tuhuma anazorushiwa.
Akitolea mfano alisema Magufuli alipotaniwa kidogo tu kuhusu afya yake akapiga Push-up jukwaani, alipoulizwa kuhusu Mke wake kutoonekana majukwaani akampandisha jukwaani akilalamika yeye si BACHELA, alipoona mwezie anajichanganya uswazi akakimbilia kupika UGALI, akawauliza mafuriko waliojitokea vipi kama akitaniwa HAJARAHIRIWA atafanya nini????

Amemtaka Magufuli kujifunza kutoka kwa mgombea mwenzake Kamanda Eddo ambaye huwa hajibu kila kitu, na hio ndio hekima ya Presidential Material.

Kamanda Nyerere leo karuka na chopa na atakua Bukoba kuendelea na kampeni za Ukawa kwani wana Musoma wamemwambia hana haja ya kupiga kampeni jimboni kwake, wanasubiri tu amlete Eddo hiyo tarehe 10 hapa Musoma.

Viva NYERERE, viva UKAWA,

Hahahahaha nimecheka sana. Mkuu naunga mkono topic yako asilimia 100
 
Muache JPM ajibu mapigo kwani uongo ukisemwa sana usipojibiwa hudhaniwa kuwa ni ukweli.

Sasa hayo ya upande wa pili Kama anaweza kupiga push-up au kurukaruka kuonesha yuko fit Mimi sina majibu.

Queen Esther

kumbe maguguli hajatailiwa duh
 
Vicent Nyerere ni kiboko yao .................. alimfanya Mkapa aingie msituni kwenye kampeni kule Usa!!
 
vicent hana akili,ile picha ya magufuli akisonga ugali ni kabla ya kampeini,,,,,inaonekana vicent ni mpayukaji tu
 
nasikia siku magufuli akikuta ma miss wanatembea kwenye maonyesho naye atavaa sketi naye aanze kutembea ki miss
 
Kwanza walikosea hata kutengeneza acronomy yao. Viunganishi havitumiki. REJEA Mhadhara wa Prof. Mulokozi UDSM somo la Uchapishaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom