Vice versa is true

wanaume sisi kuhonga na kunywa beer tu
saa ngapi tutanunua viatu

??%2~^^
 
Hata Kwenye Kile Kivazi Cha Ndani.Bado Hali Ni Mbaya.Zaidi Hata Ya Hii.Ni Raha Sana Kuzaliwa Mwanaume.Maisha Yanakua Rahisi.
 
Hiyo inajulikana ulimwenguni kote.Mwanamama mmoja wa ufilipino, Imelda Marcos, alikuwa na pea 250 za viatu, mumewe, rais alikuwa na pea tatu tu za viatu.
 
Kauli ni moja tu

Kidume cha mbegu huwezi kuta kijike cha mbegu

Lakini hivi Tee Bag wale wenye munkari kitandani wanaitwaje? Yani koni nayeye yeye na koni kama si juu basi chini kama si chini basi katikati kama si hapo basi ruku behind...yani ni machejo mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kabisa katika vitu ambavyo sipendelei kununua ni viatu.. yani pea mbili tu (formal na casual) sandals ndio napendelea kununua
 
Kwa mdada hapo, hivyo ni vya home bado alivyoacha ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…