Vibweka vya Lema na Gambo vimeufanya Arusha kuwa mji wa Hovyo!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Arusha sio tena Geneva of Afrika. Ni sehemu ya hovyo kuliko kona kona za uswazi zinazopatikana hapa Tanzania. Hili limesababishwa na siasa za kitoto/ za hovyo/ na za maji taka za vijana hawa wawili.

Wanatumia jiji la Arusha kama kiwanja cha kuoneshana tambo zao ihali watalii wakikimbilia Zanzibar. Hapa ndipo ninapomsifu Dr Shein, japo kuwa alilitibua, alilikoroga akalinywa kimya kimya, kiutu uzima na kistaaarabu kitu ambacho kimeendelea kutunza heshima ya 'Nchi ya Zanzibar' (City state of Zanzibar)
Ili kutosababisha sifa ya jiji la Arusha kushuka Zaidi ya hapa, sasa ni wakati wa Gambo na Lema ku grow up!

Kila mtu afanye majukumu yake na kulitumia jukwaa la kisiasa kwa manufaaa ya wana Arusha!
 
Arusha sio tena Geneva of Afrika. Ni sehemu ya hovyo kuliko kona kona za uswazi zinazopatikana hapa Tanzania.
Hili limesababishwa na siasa za kitoto/ za hovyo/ na za maji taka za vijana hawa wawili.
Wanatumia jiji la Arusha kama kiwanja cha kuoneshana tambo zao ihali watalii wakikimbilia Zanzibar.
Hapa ndipo ninapomsifu Dr Shein, japo kuwa alilitibua, alilikoroga akalinywa kimya kimya, kiutu uzima na kistaaarabu kitu ambacho kimeendelea kutunza heshima ya 'Nchi ya Zanzibar' (City state of Zanzibar)
Ili kutosababisha sifa ya jiji la Arusha kushuka Zaidi ya hapa, sasa ni wakati wa Gambo na Lema ku grow up! Kila mtu afanye majukumu yake na kulitumia jukwaa la kisiasa kwa manufaaa ya wana Arusha!
Tatizo ni Lema, hajaanza na Gambo tu!
 
Gambo kakosea wapi? Kutokumtaja Lema kama recognition??
 
Back
Top Bottom