Vibration machine

Vibration machine

legend07

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
333
Reaction score
137
Habari humu, nauza mashine ya tofali za block, bei ni 2.2m mpyaa kabisa, inatoa tofali mbili za inch tano na inatumia umeme so ipo na motor yake. Anayehitaji tunaweza zungumza.
 
Habari humu, nauza mashine ya tofali za block, bei ni 2.2m mpyaa kabisa, inatoa tofali mbili za inch tano na inatumia umeme so ipo na motor yake. Anayehitaji tunaweza zungumza.
Huko wapi na machine iko wapi?
 
Nipo dar, mashine ipo ubungo kibo
0784632153
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom