ubaya wa jambo haupimwi kwa idadi ya vidoleMkimnyooshea kidole kimoja mwenzio utambue vidole vitatu vinakutazama wewe. :focus:
Tahadhari mbili dogo.
Moja ni kuwa ukimuanika mtu anaweza kukushtaki, jee huyo binti atayekupa taarifa hiyo atakuwa tayari kusimama na ushahidi wake?
Pili kuna vibinti vijanja huwa vinajipitishapitisha kwa walimu kwa lengo la 'kuonewa huruma' apewe mtihani. Mwalimu akiweka ngumu anaweza kuchafuliwa jina bure, jee uko tayari kupokea dhambi hizo?
Huwa wanalazimishwa au njaa zao
Inawezekana pilipili inarushwa na upepo toka huko shamba mpaka mahaka alipo anayewashwa...pilipili ya shamba yakuwashia nini?
njaa ndo kinakuwa kigezo cha kuwakandamiza mabinti wa watu usipotoa kitu imekula kwako kweli hii ndio tanzania tunayoitaka..
Cha msingi wajifunze kusema na njaa zao... Mbaya zaidi ni kuwa nao husikia raha ...njaa ndo kinakuwa kigezo cha kuwakandamiza mabinti wa watu usipotoa kitu imekula kwako kweli hii ndio tanzania tunayoitaka..
baada ya kukaa na kupata malalamiko + kujionea mwenyewe uchafu unaofanywa na mabosi, watu wakubwa, waalimu wa vyuoni katika kuwanyonya mabinti zetu kingono kwamba ni lazima wafanye nao mapenzi la sivyo kazi hawapati, au wanawafukuza kazi au wanawabania katika nyanja mbali mbali nimechoshwa na hii tabia so sisi kama wakachaaa tutaanzisha mpango kabambe wa kupambana na hawa watu kwa support ya victims wenyewe ambao wamepata haya matatizo tutawalipua tunaweza kuwalipua hapa hapa jamii forum na jamii forum wakinibania nitawalipua kwa special blog ambayop itaandaliwa kwa ajili yenu
so ninyi watu wa
maofisini
benki
ngo's
makampuni ya simu
vituo vya redio
studio za muziki
makampuni ya fashion na urembo
wafanyabiashara wa maduka
waalimu vyuo vikuu
jaribuni kurekebisha tabia zenu la sivyo wakachaaa watawalipua tena sana na too soon