VIBONGE VS PORTABLE THREAD!

VIBONGE VS PORTABLE THREAD!

Mbona hao hawana tofauti! Halafu hapo hamna kibonge wana miili tu

Kibonge ni sisi wenye vitambiii na uzito wa kutoshaa mgongo na kiuno havijulikani
Hebu weka picha tukuone? Sura kama sanamu la Michelin?
 
Back
Top Bottom