Vibinda Digitali, Wanaume tuwe makini.....!!!!!????

yan hawa kina dada wanatafuta kila njia kutuvutia......kama huna mvuto huna tu...bado kidogo zitatoka papuch....
 
Wanaume tunadanganywa sana, tuna bambikiwa mimba, tunadanganywa kwa mimba feki, MP feki, rangi ya ngiozi feki, nywele feki, kucha feki, kope feki, matsabury feki, wanawake feki aka mashoga! Kwa vile wamekuwa feki hatuna namna nyingine ya kufanya, nikupiga tu!
 
Jaman vizaz hv watu wanaihangaikia znaa zaid ya ufalme wa Mungu
 
mbaya zaidi wanabebea madawa ya kulevya kwenye hayo makalio feki.
 
kuweni makini wanaume mengi yanabuniwa kuwatega
 
mmh! sasa yote haya yanaletwa nini? na uzuri ni kwamba hawa magharibi aka wazungu wanajua kutushika aisee
 
kutokujikubali ni ugonjwa hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…