Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,144
- 48,371
Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA.
Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA.
Tanzania hasara kubwa tuliyonayo ni kuwepo kwa CCM madarakani.