Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,193
- 8,699
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.
Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.
Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.
Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.
Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.
Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?
Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?
Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?
Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app