maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,842
Mara ya pili leo nimeona gari limeacha njia hapa mlimani city nakuingia mtaroni. Kabla ya mtaro wamejipanga machinga na mabanda yao ambayo siku zote jiji wanajifanya hawavioni wanaacha kila siku wanavamia na kujenga mabanda. Mara ya kwanza kama miezi miwili lori la mafuta liliacha njia na kuingia mtaroni hapahapa mlimani city na likaua. Subirini lije janga kubwa mtumbuliwe ndo mtakua proactive sababu daily mnapita humu na mnaona.