Hizo picha hapo juu huzioni. Kwa wastani tafteni kiongozi wa CDM hapo Mlandizi mmpe hiyo aiweke kwa maamdamano hao wezi watang'oka bila ubishi.
khaaaaa!!!!! Sina hata la kusema, acha nipite.....
Kigumu chama cha mapinduzi
hapa ndio Tanzania mkuu..na sisi ndio watanzania wenyewe bana.....
Wakuu ni makosa tu ya uchapaji ni Tsh.14,000,000/= narudi tena ni milioni kumi na nne, naomba kuwasilisha.