Kuna taarifa mbili kutoka TAMISEMI nimepata juu ya huo uhamisho unaosubiliwa, ila sijaelewe ipi ni sahihi kwani taarifa zote zinasema uhamisho utachelewa kutokana sababu ya zoezi la chaguzi za Serikali za mitaa zilizomalizika;- Mtu wa 1 ameniambia mpaka mwishoni mwa mwezi huu na mtu 2 ameniambia huenda ikawa mpaka July mwaka huu.