Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 260
Viazi haipo katika hizo factor nyingi?Sio kweli.... mwanamke kuzaa mapacha kunachangiwa na factor nyingi
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Unataka mapacha nkupe mimba?nice
Usukumani pangekuwa na mapacha wengi sana