Viazi vingine bana we acha tu !

mbona kiliishakuwemo humu jamvini kitambo
 
ningekuwa nalima afu napata magunia kama mia moja hivi, ningepata soko kubwa sana kwa wadada, hasa wale wanachuo wa bodingi na baadhi ya wanawake ambao waume zao wako mbali, mbona wangevigombania kama mpira wa kona.
 
Hahaaaaa hope akila mdada atafurahia sana
 
Hiko kiazi lazma kiwe kitamu achilia mbali jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…