Viatu vya maiti wa mv spice

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,113
2,469
Nimepigiwa simu muda si mrefu kuwa wiki moja baada ya ajali ya meli ya Mv Spice maeneo ya Nungwi Zanzibar vifaa vingi kutoka katika ajali hiyo vimewasili katika fukwe za ukanda wa Tanga.Baadhi ya vitu hivyo ni magunia kwa magunia ya viatu vya maiti.Vyengine ni majokofu,milango na magodoro.

Wako ambao wameokota milango ya thamani na wale waliopata magodoro wameyauza kwa bei nafuu.
 

Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,976
363
kwa kweli inahuzunisha sana. wapumzike kwa amani marehemu wote.
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,218
91,811
hivi hakuna aliefikiria labda wangetupa mizigo hiyo baharini mapema ingewasaidia??????/

kupunguza uzito wa meli kabla haijazama?
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
mswahili atupe mzigo baharini? una utani wa ngumi! au mabaharia wajitupie mizigo baharini afu meli isizame, unadhani tajiri ataelewa somo la kufidia? maisha ya mswahili hayana thamani,ndo maana hata ukienda hapo ubungo, lori la saibaba ama ngorika utasafiria kwa sh 17,000 na bus proper la benz utalipia sh 30,000 for the same trip
hivi hakuna aliefikiria labda wangetupa mizigo hiyo baharini mapema ingewasaidia??????/<br />
<br />
kupunguza uzito wa meli kabla haijazama?
<br />
<br />
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom