Viatu Vya Kike Kutoka UINGEREZA.......

Viatu Vya Kike Kutoka UINGEREZA.......

humbleguy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
226
Reaction score
100
Habari zenu akina dada,nimewaletea viatu vizuri sana vya kike kutoka UK,kuna aina tofauti kwa ajili ya ofisini,mitoko na mizunguko ya kawaida mjini,bei in tsh 65,000
NB:flat shoes ni tsh 45,000
sizes:35-41 UK

Napatikana Dar tafadhali nitumie PM kama umevutiwa na kiatu chochote naweza kukuletea popote ulipo ndani ya DAR,wale wa nje ya DAR tunaweza kupanga jinsi ya kuwatumia

taccardi.jpghighheel sandal.jpgSILVERWEDGE.jpgPEEPTOEWEDGESANDAL.jpgLADYMODA SIMPLE.jpg
 
Genuine shoes from uk stores.....nanunua wholesale end of line products ndio maana bei yangu ni ndogo sana,dukani vinauzwa gbp 40-70
 
Habari zenu akina dada,nimewaletea viatu vizuri sana vya kike kutoka UK,kuna aina tofauti kwa ajili ya ofisini,mitoko na mizunguko ya kawaida mjini,bei in tsh 65,000
NB:flat shoes ni tsh 45,000
sizes:35-41 UK

Napatikana Dar tafadhali nitumie PM kama umevutiwa na kiatu chochote naweza kukuletea popote ulipo ndani ya DAR,wale wa nje ya DAR tunaweza kupanga jinsi ya kuwatumia

View attachment 130117View attachment 130115

No 2 na namba 4 vimetulia sana. Unauza shs ngapi mama nije nimchukulie my wife wangu? Mimi nidiyo my husband yake
 
Flat shoe ni aina hiyo tu na havina uwazi mbele? Manake kucha mwenzangu..! Na vip kama mtu yupo mkoani?
 
Flat shoe ni aina hiyo tu na havina uwazi mbele? Manake kucha mwenzangu..! Na vip kama mtu yupo mkoani?

flat ni hio tu,mkoani nitakutumia kwa mabasi yajayo huko,karibu sana
 
OPTIONS 1,2,4 vimebaki vichache sana,kwa anaependa awahi kabla havijaisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom