Mkuu nipo asante kwa kunikumbuka, I'm blushing nowNingependa kwanza kutambua uwepo wa Evelyn Salt
Sky Eclat ndugu upo???
High AF, Christmas come early!!!
Nimekumiss sana, haya ka short holiday kalienda poa?Mkuu nipo
Mzee wa Linus!Duh nmekumbuka Ile story ya Yule muhaya wa kwenye IST
[emoji1] atakua mpelelezi buanaau ndo wewe uliyemwua mzee wa watu, umejuaje km mashine bado ipo 45 degree!
Mkuu hizo supplements hazina madhara na zina makusudio ganiMkuu Sky Eclat achana na viagra, juzi kati gym nlianza kutumia creatine supplements (nazitumiaga) kama pre workout supplement, na casein(new sijawahi itumia) kama post workout, aisee nmetoka gym narudi home, huyu mtoto hapa bado kidogo akimbie, hii casein aisee ni kama viagra tu, mpaka inaumiza yani, erection mpaka kunakucha, aisee ikabidi niiache tu