Viagra inaua, kuweni makini jamani

Viagra inaua, kuweni makini jamani

VIAGRA is Prescription Medicine used to treat erectile dysfunction (ED).

IMPORTANT SAFETY INFORMATION BELOW.

Do not take VIAGRA if you take nitrates, often prescribed for chest pain, as this may cause a sudden, unsafe drop in blood pressure.

Discuss your general health status with your doctor to ensure that you are healthy enough to engage in sexual activity. If you experience chest pain, nausea, or any other discomforts during sex, seek immediate medical help.

In the rare event of an erection lasting more than 4 hours, seek immediate medical help to avoid long-term injury.

If you are older than age 65, or have serious liver or kidney problems, your doctor may start you at the lowest dose (25 mg) of VIAGRA. If you are taking protease inhibitors, such as for the treatment of HIV, your doctor may recommend a 25-mg dose and may limit you to a maximum single dose of 25 mg of VIAGRA in a 48-hour period.

In rare instances, men taking PDE5 inhibitors (oral erectile dysfunction medicines, including VIAGRA) reported a sudden decrease or loss of vision. If you experience sudden decrease or loss of vision, stop taking PDE5 inhibitors, including VIAGRA, and call a doctor right away.

Sudden decrease or loss of hearing has been rarely reported in people taking PDE5 inhibitors, including VIAGRA. It is not possible to determine whether these events are related directly to the PDE5 inhibitors or to other factors. If you experience sudden decrease or loss of hearing, stop taking VIAGRA and contact a doctor right away.

If you have prostate problems or high blood pressure for which you take medicines called alpha blockers, your doctor may start you on a lower dose of VIAGRA.

VIAGRA should not be used with other ED treatments. VIAGRA should not be used with REVATIO or other products containing sildenafil.

VIAGRA does not protect against sexually transmitted diseases, including HIV.

The most common side effects of VIAGRA are headache, facial flushing, and upset stomach. Less commonly, bluish vision, blurred vision, or sensitivity to light may briefly occur.

Kwa kifupi ni kwamba hii dawa lazima itolewe kwa cheti cha daktari baada ya kukufanyia uchunguzi hasa kuhusiana na magonjwa ya moyo. Utumiaji wa Viagra bila kufuata maelekezo ya daktari unaweza kukuletea madhara makuba hata kifo.

Vijana wengi wamekuwa wakishawishiwa na wenzao waliowahi kutumia dawa hii kwa lengo la kuwakandamiza wadada kisawa sawa, ila matokeo yake yanaweza kugharimu maisha. na mara nyingi ukishaanza na hizi dawa kunajengeka mazoea na inakuwa ngumu kuziacha.

Pia vijana wengi hudhani kuwa kumpiga bao nyingi mwanamke ndio kumridhisha kumbe si hivyo, tendo la ngono linataka maarifa ya ziada ya kuridhishana na sio kumimina maji kila dakika 10. Wapo wanaume wanaopiga bao moja tu la kiufundi na wanawaridhisha mademu sana, maana kuna staili ya kumwezesha mwenzi wako wa kike atangulie kufika kabla ya ww hujajikamua. Wanawake wengi huridhika na staili km hii na huwafanya watulie sana na mabwana zao. Mademu wanaopenda kugandamizwa bao 6-10 hao sio wa kawaida, na ukikutana na demu km huyo, ujue hata ww atakutoroka kwa kuwa wana hormones ambazo hazijabalance ktk miili yao. Ni mademu ambao ukimgusa paja anajiachia mwaaa,na hata wengine hujifua kabla ya tendo ili aridhike.
Hivyo kwa ushauri, ni vyema kufanyiwa uchunguzi wa kina kabla ya kuanza kutumia dawa ya aina yoyote si kwa kujifurahisha tu bali hata km unahisi una maradhi ni vyema uchunguzwe kwanza.

Asante kwa upembuzi wa kina !!
 
Habari hii ni ya kweli,
Jamaa mmoja jijini Mwanza alikutana na kisa hiki akapoteza maisha .

Huyo jamaa alikuwa na dem wake akawa hamgongi kisawasawa kama ilivyokuwa mwanzoni, huyo dem akamtania kwamba ana mpango wa kumuacha kwa kuwa nguvu za kiume zimepungua - si kama zamani. Jamaa kwa kujitutumua akaamua kununua vidonge viwili vya viagra na kumeza, akamkaribisha huyo dem wake waingia faragha wakaanza kuhudumiana, ile kufika kileleni akaishiwa nguvu kabisa, akamwambia dem wake amvalishe nguo - apige simu kwa jamaa yake aje amkimbize hospital,

Kweli rafiki yake alipofika wakambeba na kumkimbiza Bugando, kufika hospital kumbe mshkaji kaishakata roho. :help:

Angalizo: Viagra bila ushauri wa Dr.ni noma,

I heard somewhere mtu anasema kwamba ili kutumia hiyo bidhaa lazima upimwe presha na mapigo ya moyo, kwa sababu kazi yake mojawapo ni ku-boost mzunguko wa damu pia, ukiachilia mbali ku extend ejac.ulatio.on
 
Mpasuajipu99 katoa maelezo yakutosha !! Hebu rejea hapo juu !!
 
Mimi na mke wangu mpendwa huwa tunatumia viagra kumkomoa mwaJ na Mwita Maranya, maana kila siku wanatuletea mapaka shume yao ya chuma ulete, na sisi kwa kula mikuku tu hatujambo, basi, huwa tunaweka viagra kwenye mipande ya mikuku na kuwapa paka wa mwaJ, wakifika tu mlangoni kwao wamekauka.

bujibuji si uliniambiaga unatumia ya mnyaa?haikudhuru!!
 
kuna Siku mshkaji alinishawishi nikatest kidonge kimoja...dah..masikio yaliwaka moto,kichwA kiliuma mbaya...mwisho Wa siku nilihailisha game....kuanzia Sikh hiyo sitaki kusikia kabisa hay a makitu...

mkuu kuna umri wa kutumia hayo maviagra na complication ya magonjwa fulani au matumizi ya madawa fulani.... hivi hivi unaanzaje kutamani kutumia viagra?
 
kwa hilo umenena, sisi tuliokulia vijijini tuna bahati hiyo ya kutokuwa weak kwenye shughuli, haya ma-vyakula ya kwenye supermarket yanawaharibu vijana wengi walozaliwa mijini - TURUDI EDEN JAMANI

hili sidhani kama linaukweli wowote mkuu!!!!!!!!!!!

utafiti huu umeuona wapi?
 
nguvu mlizopewa na mungu
mmeona haziwatoshi kwa kuendekeza
umalaya,kufeni tu haina shida tutawazika na mitarimbo
ikiwa imesimama!!
 
duh kwel wafe tu hata dunia iwe na amani yani mijianaume ya cku hiz ziro tu nilipataga lmoja kumbe bila viagra halina chochote yani ndude inalala kiasi kwamba hata kukojoa ilikua lazima asukume mkojo sasa mim na roho yangu ya kimachame cku moja nikazificha coz tulikua kwa hotel na alikua ananificha alitaka nijue ni nguvu zake baada ya kuzificha tukaenda dinner af nikamwambia babe leo nataka game kali kuliko cku zote jamaa akajibu harakaharaka nicjali atanipa hadi nizimie kufika rum c akawa anapekua kwenye begi lake coz alikua anamezeaga bafuni mi nikawa nishaoga tayar najigalaguza tu nikimuita aje anipe mambo baada ya kuona anahaha sana na sura imembadilika huku kidole chake ndo kimenywea ka nyama iliyolala buchani cku nane basi nikamuuliza sweet watafuta nini akaniambia kuna risit za tra muhimu sana nashangaa sizioni kuna jamaa kanitumia msg kuwa kesho asubuhi atazipitia
 
basi akaanza kudai kuwa amechanganyikiwa na hawez fanya chochote kumbe hamna lolote kesho yake nikamuuliza mbona jamaa mbona hajapita akaniambia nimemwambia risit zimepotea baadae nikamwambia natak kuondoka anipe basi hata kimoja akaniambia babe toka nipoteze risit nimepata presha sana nenda tutafanya tu cku ingine au tuendelee kukaa badae nikitoka out nikapoteza mawazo nitakupa utakacho nikajua anataka kutoka ili akanunue zingine nikajifanya nimenuna nikacctiza kuondoka akakubali shingo upande baadae nikamtumia msg ya kumpasha ukweli wake kua mim ndo nilificha dawa basi hadi leo anancctiza iwe cri yangu ingawa nishambwaga saiv namlia hela tu nikihitaji
 
Mimi na mke wangu mpendwa huwa tunatumia viagra kumkomoa mwaJ na Mwita Maranya, maana kila siku wanatuletea mapaka shume yao ya chuma ulete, na sisi kwa kula mikuku tu hatujambo, basi, huwa tunaweka viagra kwenye mipande ya mikuku na kuwapa paka wa mwaJ, wakifika tu mlangoni kwao wamekauka.
Yaani tuna taabu sie! Wee Bujibuji huko kichwani mwako huna unachowaza wala unaowakumbuka zaidi ya mwaJ na Mwita Maranya. Tuwaaaacheeeeeeeeeeeee tupumuweeee! Btw, acha kutumia Viagra, kama Mamndenyi anakupenda hawezi kukuacha hata kama uwezo umepungua. Kumbuka kile kikatuni kinacho define love.
 
basi akaanza kudai kuwa amechanganyikiwa na hawez fanya chochote kumbe hamna lolote kesho yake nikamuuliza mbona jamaa mbona hajapita akaniambia nimemwambia risit zimepotea baadae nikamwambia natak kuondoka anipe basi hata kimoja akaniambia babe toka nipoteze risit nimepata presha sana nenda tutafanya tu cku ingine au tuendelee kukaa badae nikitoka out nikapoteza mawazo nitakupa utakacho nikajua anataka kutoka ili akanunue zingine nikajifanya nimenuna nikacctiza kuondoka akakubali shingo upande baadae nikamtumia msg ya kumpasha ukweli wake kua mim ndo nilificha dawa basi hadi leo anancctiza iwe cri yangu ingawa nishambwaga saiv namlia hela tu nikihitaji

Mtu anapoamua kuficha mapungufu yake ni kwa ajili ya upendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom