Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Habari hii ni ya kweli,
Jamaa mmoja jijini Mwanza alikutana na kisa hiki akapoteza maisha .
Huyo jamaa alikuwa na dem wake akawa hamgongi kisawasawa kama ilivyokuwa mwanzoni, huyo dem akamtania kwamba ana mpango wa kumuacha kwa kuwa nguvu za kiume zimepungua - si kama zamani. Jamaa kwa kujitutumua akaamua kununua vidonge viwili vya viagra na kumeza, akamkaribisha huyo dem wake waingia faragha wakaanza kuhudumiana, ile kufika kileleni akaishiwa nguvu kabisa, akamwambia dem wake amvalishe nguo - apige simu kwa jamaa yake aje amkimbize hospital,
Kweli rafiki yake alipofika wakambeba na kumkimbiza Bugando, kufika hospital kumbe mshkaji kaishakata roho. :help:
Angalizo: Viagra bila ushauri wa Dr.ni noma,
Siku hizi kuna TEMBE ni vidogooo kama piriton halafu unakula nusu tu , kudadadeki utapiga gemu mpaka dem ataomba msamaha, mzee wazungu hawatoki wala nini unaweza zungungusha mafiringo saa nzima ndo mzigo unashuka pwaaa......
Chezeiyaa TEMBE mzeeee ............!:love: