VHS to CD or DvD Player...

VHS to CD or DvD Player...

Jayll7

Senior Member
Joined
May 20, 2014
Posts
170
Reaction score
21
Hello guys..
Naomba kuuliza,
Katika technology ya kileo kuna uwezekano wowote wa kubadirisha video zilizo katika mfumo wa VHS (yaan ile mikanda ya kizamani) kwenda katka mfumo wa CD au DvD...?
 
zipo converter za aina nyingi sasa kwa kazi hio.. utachagua mwenyewe unataka kutumia ipi..
kama unahitaji kuzicheki bofya HAPA
 
Back
Top Bottom