VFX, Modeling, na Archtecturing natafuta Ajira

Izy_Name

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
1,061
Reaction score
2,552
Ninaandika ujumbe huu kwa nia ya kutafuta fursa za ajira katika mambo ya VFX, modeling au architectural design.
Mimi ni mtaalamu mwenye ujuzi katika maeneo haya na ninatafuta sehemu ninayoweza kufanya kazi zinazo husiana 3D.

Nina tumia Blender kwa ubunifu wa 3D, uhuishaji, na modeling.
Nina uwezo wa kutengeneza Animation na mfano wa object ya aina yeyote ile kwa 3D.
Naweza wafanya kazi kwenye sehemu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na miradi ya filamu/Music, matangazo, na hata miradi ya usanifu.

Changamoto kubwa ni uwezo wa Pc ni mdogo kurender video inakuwa ni ngumu inachukua muda mrefu ku render frame hapa chini ni baadhi ya Image ambazo nimerender.
 

Attachments

  • vllage.jpg
    174 KB · Views: 27
  • aph3.png
    722.8 KB · Views: 27
  • city.png
    537.2 KB · Views: 26
  • office.png
    370.5 KB · Views: 26
  • dreamhs2.PNG
    211.1 KB · Views: 24
  • scndhm1.PNG
    130.6 KB · Views: 24
  • sdhs.jpg
    296.8 KB · Views: 21
  • phs.jpg
    252.6 KB · Views: 23
  • machines.jpg
    46.2 KB · Views: 21
  • machine.jpg
    52.5 KB · Views: 22
  • village2.jpg
    129.3 KB · Views: 25
  • village1.jpg
    159.6 KB · Views: 23
  • village.jpg
    166.4 KB · Views: 21
  • aph.png
    767.7 KB · Views: 22
  • aph1.png
    637.1 KB · Views: 24
  • mountains.png
    237.9 KB · Views: 20
Da! Safari njema ya kutafuta ajira ila nikiri uko vizuri asee.
 
Mkuu tafuta na nje ,kunayule dogo aliyetengeneza trailer la spiderverse Lego version kala shavu sony afu Ana miaka 14
 
Hvi nikitaka unitengenezee ramani ya nyumba kibingwa niandae ngapi ya mchoro.

Taja hapa kwa faida ya wengine.
 
kulingana na aina na mahitaji ya nyumba

-vyumba 3 vya kulala,jiko,sebule, choo cha ndani.

-paa la kawaida na si hidden roof.

-Ukuta wa nyumba

kwa kifupi ni General details

unaandaa kwa ngapi (weka hapa kwa faida ya wengine)



Wakati unaasubiri ajira nadhani unaweza kupata hata hela za hapa na pale
 
Safi mkuu,

Hzo animation unaeza kutengeneza mpk videos ?
 
Kwa mahitaji yako naweza kukucharge 120k lakini nafasi ya maelewano ipo
 
Safi endelea kujinoa usikate tamaa.

Binafsi nipo kwenye 3D prototyping , soko kama soko halipo wazi bali ni kupitia problem solving kwenye maisha ya kila siku.






 

Attachments

  • Screenshot 2023-07-03 205727.png
    28.5 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…