Veta trade test Certificate

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Jamani wadau hamjambo?Mimi ni fundi umeme wa mtaani.Nimejiandikisha VETA ili niweze kufanya mtihani wa trade test.Je CHETI chao kinaweza kunisaidia kutafuta kazi sehemu kama TANESCO?kinatambulika kama chet?Naombeoi msaada wana TEKENOLOJIA Kwani sina pa kuuliza.
 
Cheti cha VETA ni kizuri mkuu... inategemea utapata cha level gani coz kama utapata level 2 au 1 utakuwa mkali sana na popote utapokelewa
 
Cheti cha VETA ni kizuri mkuu... inategemea utapata cha level gani coz kama utapata level 2 au 1 utakuwa mkali sana na popote utapokelewa

asante kwa maelezo
 
Cheti cha VETA ni kizuri mkuu... inategemea utapata cha level gani coz kama utapata level 2 au 1 utakuwa mkali sana na popote utapokelewa

kwanza pole sana mkuu na pili hongera.Kwa wew unaeomba ushauri juu ya cheti ni kuwa kwa cheti utapata na kama utapata cha gred 1 utapata kaz kwa sababu umesema wew ni fund lkn kama unaenda kusoma ili upate ujuzi nakupa pole sana kwan hizo hela umewapelekea wakina .........Wazitafune.

Na wew uliye mshauri umechanganya mambo yeye anaenda kusoma na kufanya mitihan ya trad test ambayo vyet hutolewa kwa grad ukianzia 3,2 na 1.
Na wale wanao soma kwa mfumo wa cbet vyet vyao hutolewa kwa level ukianza na 1,2 na 3.

Kwa ushauri wangu wa bure kama unataka chet na wew ni fund endelea na ufundi na ikifika kipind cha mtihan wew kapige paper 2.Mitihan ya trad tast huwa wana copy mitihan iliyo pita kama hauamin tafuta mitihan 6 ya nyuma mwez wa 5 mi 3 na mwez wa 11 mi 3.Halaf ujionee.

Mi nimesoma hapo auto electrical grad 3,2 na 1.
Na electronics level 1 na 2.
 

asante sana mkuu kwa maelezo yako.nimefurah kukutana na mtu mwenye mfano hai.pia naomba nikuulize.ukifanya hiyo trade test unapoenda kuomba kazi unakuwa unatambuliwa kama mtu mwenye ujuzi kwa kusomea?nashukuru.
 
Cheti cha VETA kitakusaidia sana kupata kazi Tanesco kwani wale hawana wataalamu zaidi ya Veta
 
Utapata we kasome tu, we hujasoma unaulizia kazi mpuuzi kwelikweli, unadhani we ndo unataka kazi peke yako. Ile mitihani ya Trade test kwa mwaka huu tu watahiniwa wa umeme walikuwa zaidi ya 3000,, Tanesco wanamwaka hawajatangaza ajira sasa hapo unaonaje?
 

hapana sina haja ya kuajiliwa tanesco.ila nimetumia kama mfano tu.umenipata??sasa napiga dei waka na mshiko unaingia taratibu.ila kwa kuwa tayari nina fm 6 kichwani nahitaji vyeti vya veta tu ili niwe fund wa kimataifa mjombaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…