VETA KUTOA DIPLOMA

VETA KUTOA DIPLOMA

Wamalinyi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
237
Reaction score
146
Habari wanajamvi nilikua nawaza na kuwazua nikajiuliza swali,kwanini Serikali isifanye Utaratibu wa Vyuo vya Veta kutoa elimu walau hadi ngazi ya Diploma?
Mwanafunzi akimaliza grade I au level I anaenda diploma.karibu tujadili
 
Wanatoa diploma ya utalii kule VETA Njiro, Arusha!
 
Back
Top Bottom