simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
Mariah mkali anazo sifa zote kasaro ni musungu🙂
Celine bwege tu😅Kwangu mimi Celine DION ndio best kwa wote hao uliowataja,halafu anafuatilia Whitney HOUSTON.
Oooh i wanna dance with somebody, i wanna feel the heat with somebody, ooh i wanna dance with somebody....with somebody who loves me.....Umeskiliza I wanna dance somebody? Au Greatest love? Huyu bimkubwa alikuwa noma
The greatest love of allMy love is your love, i will always love you, if i told you that, when you believe, its not right but its okay, heart break hotel.
Achana kabisaaaaaa na Whitney kuna playlist moja matata sana.
Huu wimbo ulisababisha ile Animation ya Prince ikaribie kupata Grammy ndipo waliongoza ile project ya wimbo wakaanza kuugombania wimbo. Hatima yake hawakushinda hiyo tuzoWhitney Huston is regarded kama mwanamuziki wa kike mwenye powerful voice na mwenye kipaji kikubwa
Tatizo lake kubwa ambalo huwa lina mpunguzia sana credit ni kudumu kwa muda mfupi kwenye game kabla ya kuangukia kwenye madawa ya kulevya na kupoteza ramani baada ya kuolewa na teja Bob Brown aliyemuingiza kwenye utumiaji wa mihadarati
Kisa chake kinafafa sana na kisa cha Ray C na Lord eyes
Mariah Carey ni fundi wa kuimba mwenye sauti tamu na uwezo mkubwa sana wa kuimba note za juu kabisa za kimuziki kwenye kizazi chake
Amedumu kwenye game kwa muda mrefu sana akitoa albums nyingi ikiwemo za Xmass zilizo mpa mafanikio makubwa sana kimziki
Kwa mtazamo wangu Whitney Huston ni bora zaidi kwa maana ya powerful voice na talent
Mwaka 1998 wakati huo wote wawili wakiwa kwenye ubora wao na mijadala ikiwa mikubwa nani ni bora kati yao......... Baby Face akiwa muimbaji nguli na producer akapata deal la kutengeneza soundtrack ya animation film inaitwa THE PRINCE OF EGYPT, akatumia nafasi hiyo kuwakutanisha wakali hawa na kusuka wimbo unaoitwa WHEN YOU BELIEVE
Verse ya kwanza kasimama Whitney kisha verse ya pili kaisimamia Mariah Carey, bridge wakaimba wote na chorus ya mwisho wakaimba wote
Kwa wanao sikiliza music in DETAILS ukiusikiliza huu wimbo utapata picha nani bora haswa kwenye bridge ya wimbo na chorus ya mwisho kwa jinsi manguli hawa walivyokua wanajibishana kwa ufundi mkubwa kila mmoja akijaribu kuonesha kwamba yeye ni bora
Mariah Carey akibana koo lake ili ku peak high vocal cords wakati huo Whitney akifungua koo ku peak power voice
View attachment 2157751
Yeah!!!The Bodyguard
Kuhusu MTV kumtaja hiyo ipo kwenye platforms mbali mbali kila moja ikitaja mwanamziki wake kama ndio bora, zipo pia zilizo mtaja WhitneyHonestly, nyie unam-disregard Mariah Carey... Kuna sababu aliwekwa number moja MTV kwa mwanamziki anayejua kuimba zaidi ... Hadi sasa tunaongea anaongoza chart ya Billboard Hot 100 kuwa mwanamziki solo mwenye ngoma zilizoshika namba moja kwenye chart akiwa na ngoma #19, pamoja na yote amevunja rekodi ya msanii wa kike mwenye mauzo mengi kuliko wote, pamoja na nyimbo inayorudia chart kila xmass sana sana katika nafasi ya kwanza ambayo ni 'All I Want For Christmas Is You', amepiga kila genre, Hip Hop, Rnb, Pop, Rock and Roll etc ... Fanyeni research fam.