Very True

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,549
7e4f3ddb5f413e4c33bf06f0a49cc668.jpg
 
Wakinga hao kwa ubahili usipime. Anatoka IRINGA AU NJOMBE na milion hata mia kwenye mkoba lakini hayupo tayari kununua chakula hotelini zaidi ya chai kavu. Hivyo katika muda wote atakapokuwa Dar atatumia mkate wake uliotengeneza kienyeji, hotelini ataagiza chai tu, akiulizwa vitafunwa atajibu ninao mkate wangu.
 
Mkuu umeua
 
Kuna moja walikuwa kwenye basi wanatoka Njombe kuja DSM, basi lilisimama Morogoro hotelini ili abiria wale. Wakinga waliorder, wakalipa, wakala, walipoondoka walifungasha vyombo walivyolia. Mwenye hoteli kuhamaki walimjibu taratibu tu 'mwe chakula unanunua? Kwetu chakula unakaribishwa tu sisi tumelipia vyombo hapa'.
 
Ndio maana mbwa analiwa Iringa
 
Back
Top Bottom