Very touching story...

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,744
8,915
Mwalimu wa kawatoa nje wanafunzi wake.

Mwal: jamani angalieni Juu Mnaona nini?

Wanafnz: mawinguuuu..

Mwal: kingine..?

Wanafnz: hakunaa

Mwal: Mungu mnamuona?

Wanfnz: hatumuoniiiii...

Mwalm: tutaaminije kama kuna Mungu? Nawaambiaga hakunaga Mungu.

Dogo 1: mwalimu samahani.

Mwali: bila samahani ( huku dogo akipita mbele)

dogo 1: jamani angalieni kichwani kwa MWALIMU je mnaona nini?

Wanafnz: nyweleeeee..

Dogo 1: kingine?

Wanafnz: hamnaaaa..

Dogo 1: je UBONGO mnauona?

Wanafnz: hamnaaa

Dogo 1: nawaambiaga kila siku huyu MWALIMU hana UBONGO

Darasa lilifungwa cku hiyo hiyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom