Very Surpringly-Sijapata Jibu Nisaidieni

558647b0d6e93522f3a54a4ba83c1b93.jpg
Huo ni Mkono wako?
 
Naomba niwasalimu katika Majina Yote Yashindayo Yote.

Kila Ijumaa huwa tunakaa na Wafanyakazi wenzangu kutathamini Yaliyojitokeza Katika Siku za Wiki Kuanzia Jumatatu hado Ijumaa. Mkuu wetu ni Mwanamke na Mdada Tu na Huwa Hatuogopani tunapokuja kwenye swala la Kuongelea hali halisi ya Maumbile yetu. Hasa Hasa Mahusiano.

Kwa kuwa yeye ni Mdada Pekee kwenye Kwenye Kikao Chetu na Kwa kuwa tumezoeana sana Baada ya Maongezi nahisi kuna kitu kilikuwa kinaendelea kati yake na Marafiki Zake kwenye Magroup yake ya Mitandao. Sasa Ghafla akatuomba attention na akataka tumpe Jibu na Kiukweli Personally Sijampa Jibu ambalo yeye alilitegemea.

Aliongelea kuwa katika maongezi yake na hao marafiki zake wamekuja kungundua kuwa Wanaume walio Wengi wenye Maumbile yao Madogo ( Vibamia) huwa Mara Nyingi ni Player ukilinganisha na wale wenye \maumbile Makubwa kama ya Punda. Aiendelea mbele na kufafanua kuwa Wanaume wengi wenye maumbile madogo huweza kusex na wanawake wengi kwa siku kwa kuwa kutokana na Maumbile yao kuwa hawawezi kupiga Mshindo ambao unaweza kumaliza hamu zao zote ukilinganisha na Huyu Ambaye Ana Umbile Kubwa ambapo akikojoa anakojoa mshindo mkubwa ambao unaweza kumfanya akakaa hata zaidi ya Siku zaidi ya Moja bila kuhitaji lile suala tena.

Mimi Kwa haraka haraka nilimjibu kuwa hakuna formula yoyote inayohusiana na Ukubwa wa Umme na Freqency ya Kusex. Hiyo inategemeana.

Katika Kumdadisi nikagundua kuwa Mmoja wa Marafiki zake ana Mwanamume ambaye si wa kimaumbile makubwa kwa hiyo akiangalia jinsi ambavyo hajatulia basi anafananisha hiyo story na Maumbile.

Najua humu tupo kwa ajili ya Kujifunza , Kumbuka hili ni hoja ambayo Mdada anahitaji kujibiwa. Mimi Sipo kwenye Ubamia au UPunda ila sijisifii ila Hakuna Kitu ninachokipa Attention sana kama nikiwa Faragha na Huyo Mwenza , Yaani hata aje Mgeni lazima nimalize kilichopo kwetu ndiyo nikamuattend huyo anayehitaji msaada. Na naweza Piga Muda wowote as long as hatujakwaruzana. Yaani ni mmoja ninayeamini katika kutonyimana na kutokuwa na Ratiba Kwenye hili Suala kabisa. Maadamu tupo Huru lazima show iendelee ukizingatia ndiyo Starehe peke inayompa Mwanadamu maximum Satisifaction.

Wenzangu What is Your Experiences
ukubwa wa maumbile na kutotulia sidhani kama kuna uhusiano

lakini mie nilichowahi shuhudia ni hiki enzi za ujana wangu nilikuwa na mahusiano na kibamia fulani hivi kwenye swala la kutak kuosha mda wote ni kweli ilikuwa haina jikoni..wala sebuleni.tena sikumbuki kama tulikuwa tunamaliza hata siku 2 bila kuoshana hata nilale kwake wiki hakuwahi pitisha hata siku moja akaniacha

lakini alikuwa anakitumia vizuri mwenyewe alikuwa anaenda above 30mn hadi ahakikishe mie nipo hoii shuka tepetepe ndio amalize ila tatizo mda wote alikuwa anataka
 
Verdict!!!!
 
Safi Sana .. Thanks for your experiences
 
Ofisi yenu boss wenu mwanamke ana share mambo yake ya ma group ya watsaap?
nimetamani ofisi yenu kwa kweli..

ofisi zingine ni ripoti tu na kujibu malalamiko
life is unfair
Hahaha, ofisi haina professionalism hiyo.

Ofisi nyingine ukiongelea habari hizo unapigwa sexual harassment suit.
 
Hahaha, ofisi haina professionalism hiyo.

Ofisi nyingine ukiongelea habari hizo unapigwa sexual harassment suit.
Sexual Harassment ni ulimbukeni Mkuu ...... Kama ni hivyo Basi vimin visingekuwepo kabisa...... Ukiona mtu anakushtaki kwa Sexual Harassment basi huyo ndiyo unproffesionalism Kabisa.
 
Back
Top Bottom