Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation

Upo sahihi kiasi flani lakini umeongea kwa hisia tu nadhani ni una jazba.Kuhusu Nchi kuwaka moto hiyo hapana haitatokea wenye Nchi yao wapo makini pia kiunabii kipindi hiki Taifa lipo gizani na mwanga unakuja.Pia ni kweli ajae ndo mteule wa kuiletea nchi mema na MAENDELEO makubwa.
 
Wewe unaota ! Acha kupoteza muda wako kusubiri Meli Airport! Watu wenye akili wanatazama hizi fedha za Mama Samia ( Mkopo wa 1.3 trilioni) zinawafikiaje wewe unaota mchana huku ukisugua matako kwenye benchi kufuatilia kesi ya Mbowe!
 
vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa.
Labda kwa wenzetu waganda na wakenya. Lkn hapa bongo bado miaka 100 au zaidi.

Mzee Kenyatta aliuona umaiti wa watanzania miaka hiyo lkn mpk leo umaiti wa watanzania u aendelea kutamalaki.

Usitarajie ndugu mleta mada.
 
N Naona vitisho vya chadema gang vinaendelea.Mlishangilia Sabaya kupigwa mvua tatu.Mechi imebadilika ,mpira unachezewa sana kwenye kumi na name ya Mbowe.Mnaanza vitisho.
 
Acha ramli chonganishi,nchi iko salama,kwa mabaya unayoyaomba hakika hayatatokea.
 
Ukijumlisha na hili La chinga kukimbizwa muda simlefu majibu yatapatkana
 
Hamia huku bei ziko chini Sana πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡



 
Watu wa Dar huwa ni wajinga Sana,basi wanadhani kote watu wanawaza ujinga wao πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe unaota ! Acha kupoteza muda wako kusubiri Meli Airport! Watu wenye akili wanatazama hizi fedha za Mama Samia ( Mkopo wa 1.3 trilioni) zinawafikiaje wewe unaota mchana huku ukisugua matako kwenye benchi kufuatilia kesi ya Mbowe!
Uache kuhangaika na hatama ya watoto wako ubakie kumuandamania Mbowe na magaidi wenzake? πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi mwenyewe nimeshachoka

Tukio dogo litaibuka na litapelekea kuibuka kwa machafuko maeneo mbalimbali..

nyie mliopewa dhamana..kuweni makini sana.
Hakuna atakaye jali familia zenu, ndugu zenu wala jamaa zenu.
Polis haitawasaidia maana na wao watakuwa wanajipambania wao wenyewe!
Vifaru na mabomu hayatawasaidia

Siku yaja tena nasema yaja
 
Kuna wazo(point),naiona hapa.
 
Shule uliyo nayo inakusaidiaje wewe, nikiambiwa nimtafte shetani miongoni mwa watu wewe lazima nikuguse bega, kichwa chako ni kibovu wewe
 
Siku hizi siingii ingii sana humu...nilidhani kumebadikabkumbe bado kuna Tz nyingine humu tofauti na ya mitaani yenye uhalisia.
 
Ni nani unawaza, au yule shoga?
Hawezi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…