Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,051
Upo sahihi kiasi flani lakini umeongea kwa hisia tu nadhani ni una jazba.Kuhusu Nchi kuwaka moto hiyo hapana haitatokea wenye Nchi yao wapo makini pia kiunabii kipindi hiki Taifa lipo gizani na mwanga unakuja.Pia ni kweli ajae ndo mteule wa kuiletea nchi mema na MAENDELEO makubwa.Mtu asiyetarajiwa anakuja kutawala taifa hili
Ataleta katiba Bora kuliko zote Africa.
Atafanya mageuzi ambayo yatakumbukwa kwa vizazi na vizazi.
Kinachotuponza Kama taifa tunabishana na nyakati, Sasa muda waja ambao hakuna mtu ataogopa kuhusu vifaru, mabomu, kufungwa na risasi.
Nchii hii inawaka Moto wa chini kwa chini na Moshi unavuka Ni mdogo Sana Kama vile wanachoma mkaa, wanaficha ukweli ila muda waja watu wote wataongea lugha moja.
Nimeota hii ndoto sio chini ya Mara 3 toka mwaka 2015 lakini watawala wanajaribu kubishana na nyakati .
Tuendelee kuwepo muda Ni mwalimu mzuri Sana.