kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,164
Ni dhambi gani hizi?
Hii ina tofauti gani na dhulma?
Kwanini tunaruhusu haya?
Halafu unataka uombewe who a u?
Ni aibu watu wana huzuni mnakula rambi rambi
Huu ndo utawala wa ajabu kuwahi kutokea yaani tangu hii dunia iumbwe
Mambo ya ajabu sana haya
Kule kagera mkala rambi rambi
Haya arusha nako hali ni hiyo hiyo
Ifike mahali pesa za maafa au rambirambi zikusanywe hata na benki binafsi zijitolee maana hii ni laana
Very shame aibu tupu