very important to all pliz read to know where you are.

very important to all pliz read to know where you are.

Ngosha Mz

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
17
Reaction score
2
nafikria sana kwa nini wanaume wenye malengo ya kuoa wanapowafata wanawake kwa lengo la kuoa huwa wanakataa na baada ya kutendwa wanakuja na kusema kuwa wanaume sio watu kabisa na tusiwaamini maana hawafai , wanashindwa kutambua kuwa kuna mme sahihi ambaye ni mwaminifu na anaupendo wa dhati alimkataa? nitafurahi sana wanawake wakichangia hii mada
 
Tatizo ni kazi kutofautisha yupi mme yupi kibaka
vibaka wanasound hao haki a mama lazma uingie kingi, wanaact watakatifu kuwazidi hata watakatifu wenyewe
mwisho tunajikuta tumeingia choo cha kiume, tunashindwa kukojoa tumesimama tunatamani kurudi nyuma
na ndo maana tunawafata tuliowakataa
 
Back
Top Bottom