[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bi kidude huu waraka wako hauna uhusiano wowote na familia ya mengi na Jacklin?.
Yule bi kidude ndio aliyewachagiza coz she's the last say of that family! Hata kwa mjukuu wake alishaanza kuleta longolongo, sema Harry alikomaa! So SAD.View attachment 1092302
Nilikua ninaangalia documentary ya ndoa ya Charles na Diana siku nyingi kidogo. Usiku kabla ya ndoa ndiyo wa mama watu wazima walimkalisha Diana na kumwambia mume wako ana uhusiano wa kimapenzi na Camilla. Wewe utakua mke wa ndoa na ikiwezekana utakua malkia Charles akiwa mfalme. Kwa binti wa miaka 18 aliyejua anaolewa na mfalme ajaye furaha ya ndoa ilimuishia pale.
Katika kuoa watu makini huangalia anamuoa mtoto wa nani, familia ikoje, wengine hata mapenzi yanakua hayapo lakini wanaangalia kuchanganya damu. Watoto wangu watakua na nusu ya damu ya ukoo flani na mgawanyo wa mali pia.
Kuna mama katika ile documenary ambae na yeye ni mke wa tajiri mmoja wa ma Lady alisema “ Diana was naive to let the situation slide away, she was the wife and she would have been the one to be seen in public with Charles and find her self a way to make happy when Charles is with Camilla”
So sometimes married people are aware of infidelities but they just keep the blind eye and focus on rising up the kids.
Alianza kumuingilia Kate lakini Kate Misri wake mkubwa ni mama yake ndiyo maana info zake hazitoki hovyoYule bi kidude ndio aliyewachagiza coz she's the last say of that family! Hata kwa mjukuu wake alishaanza kuleta longolongo, sema Harry alikomaa! So SAD.
Yule bi kidude ndio aliyewachagiza coz she's the last say of that family! Hata kwa mjukuu wake alishaanza kuleta longolongo, sema Harry alikomaa! So SAD.
Canada ndiyo hawataki kuondokaMm naona migogoro mingi sana kwenye ufalme wa uingereza siku akiondoka uyu bibi kidude kama saivi Australia wanataka kutoa alama ya bendera ya uingereza kwenye bendra yao sema wamempa heshima bibi kidude, Scotland wajeuri wnataka kukimbia
Matatizo hatuelewi kuwa life is short ipe roho kitu inapendaNdoa nyingi hazina furaha hasa watu wanao oana sababu ya pesa au kazi nzuri au uzuri yani mara nyingi mmoja WaPo anakuwa hisia zake azipo apo ila zinalazimishwa sababu ya kitu flani
Canada ndiyo hawataki kuondoka
Ni kweliAlianza kumuingilia Kate lakini Kate Misri wake mkubwa ni mama yake ndiyo maana info zake hazitoki hovyo