Version mpya ya guru internet, very stable vpn na bei imepunguzwa elfu 8 tu....

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
Wadau....
GURU internet LEO wametoa tolea jipya la guru, version 2.2 linalotumia latest version ya open VPN , hivyo inafanya kazi kwa mitando yote muhimu,( siitaji majina) sasa haina haja ya kuweka proxy katika application. very smooth and high speed internet.
browsing kwa speed ya umeme.....

[video=youtube_share;iOOuz2_ciXI]http://youtu.be/iOOuz2_ciXI[/video]

BEI NI ELFU 8 tu FOR UNLIMITED DOWNLOAD.......

paid android apk for free.
just a sample test for download:
http://r4.btgate.info/core/outzip.php?did=34a10acd721c5a6e98bca78532a5c7e8
 
mwaka huu tutakoma kule njunwa huku paje hapo bado mujy ajatupia aisee.. kudos for the info dude..
 
nimewahi kujaribu kwa wengine ila kwa Paje huwa nafurahishwa na kastoma kea yake! Yaani saa nane usiku unampigia simu akuelekeze jinsi ya kufanya na anakusaidia, wakati mwingine umesahau kudaboklik tu!'
Big up Paje!.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja kesho nikutafute mkuu Paje
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kumbe upo Paje kimya sana, sijui msg zangu kwenye Inbox unazipata?
 
Last edited by a moderator:
Nimeachwa kwenye mataa yale ya Salender(zamani traffic light za mwanzoni zilikuwa pale salender bridge tukwa hiyo tulikuwa tunashangaa shangaa kuona hiyo teknolojia )sasa hiyo Guru internet naamini wengi hatujui ni mwendelezo gani,hope Paje na Wa mavoko watutoe matongotongo
 
software yako inafanya kazi kwene ubuntu?

we umesha sikia kama software ni kwa ajili ya windows halafu unauliza itafanya kazi kwenye ubuntu wakati ubuntu ina software zake labda useme ni software gani ya ubuntu inaweza kutumika kama tunnel guru
 
Wadau....
GURU internet LEO wametoa tolea jipya la guru, version 2.2 linalotumia latest version ya open VPN , hivyo inafanya kazi kwa mitando yote muhimu,( siitaji majina) sasa haina haja ya kuweka proxy katika application. very smooth and high speed internet.
browsing kwa speed ya umeme.....
[video=youtube_share;MAqH9QE7cOk]http://youtu.be/MAqH9QE7cOk[/video]
na pia download kwa kasi kama zamani....
[video=youtube_share;iOOuz2_ciXI]http://youtu.be/iOOuz2_ciXI[/video]

BEI NI ELFU 8 tu FOR UNLIMITED DOWNLOAD.......

paid android apk for free.
just a sample test for download:
http://r4.btgate.info/core/outzip.php?did=34a10acd721c5a6e98bca78532a5c7e8

Naona umetoweka hewani mkuu, ukirejea niinbox tufanye mambo mkubwa
 
we umesha sikia kama software ni kwa ajili ya windows halafu unauliza itafanya kazi kwenye ubuntu wakati ubuntu ina software zake labda useme ni software gani ya ubuntu inaweza kutumika kama tunnel guru
sijui unaelewa nini unaposikia neno 'software', ok never mind sina mda wa kupoteza kuskiza utumbo/
 
Back
Top Bottom